Nilipokua mdogo tulikua na saa ya ukutani iliyokua inalia kila inapotimu kamili ya saa flani. Kulikua na mlio mmoja uliokua unanivutia Sana... Huo mlio pia ulikua maarufu kwenye zile card za birthday enzi zile.
Baadaye nikaja kugundua ni beat ya wimbo Bora zaidi toka Kwa Nas.
I know I can.... Be where I wanna be.
Hii beat ni balaa