Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Hawa jamaa wa infiniix, tecno, itel, kgtel, X-Tigi & co. Sijui tuwaambie vipi watuelewe[emoji53][emoji53][emoji53]
Natumia matoleo ya Phantom za Tecno 6+, 8 na 9 sijawahi kujuta zinatunza chaji Camera swafi hadi giza totoro inatoa picha, na Laini zimejaa Mpesa, Halopesa na Airtel money, simu haimalizi chaji hovyohovyo network hadi maporini wa Sumsang na Iphone huwa wananionea gere, na sitoacha Tecno nilihama Samsung kwasababu ya chaji na network maporini haziko poa
 
Mimi natumia Tecno series za Phantom Tatizo lenu mnanunua Tecno za bei rahisi
 
Nimekupata Sana Hapa wengi wanaongelea simu za bei rahisi Tecno nilizonazo mm RAM GB 6 sasa utapata shida gani unapiga mzigo chaji haipotei hovyo, Tatizo vijana wamekalili vibaya
 
Mkuu chifu mkwawa, linganisha oppo reno 3 na note 8T natka nikae humo kuna mtu ananiuzia used niichukue
 
Mkuu chifu mkwawa, linganisha oppo reno 3 na note 8T natka nikae humo kuna mtu ananiuzia used niichukue
Not worth it kwa muono wangu. Ina ram na storage nzuri na kubwa Ila soc Ya kizamani, unless bei ni chini ya laki 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…