Kwanza si kweli anadanganya..
1. Tecno hazina camera nzuri compare na brand nzuri na hii ni common sense inajulikana na sababu Mpaka Gsmarena zinakua reviewed tunaona quality yake kitaalamu na nyingi zinatumia camera fake, simu ina camera 3 lakini 1 tu inafanya kazi. Na simu zinazopiga vizuri kwenye low-light zina kitu kinaitwa OIS, optical image stabilization, kwa Tecno huo ni msamiati mgeni.
2. Linapokuja suala Zima la modem na reception Qualcomm Hana Mpinzani, mtu anaweza nunua simu refurb zimechezewa akaja kulala Mika kuhusu signal, Kampuni zote Duniani za Soc iwe Exynos ya Samsung, Kirin ya Huawei, A series ya Apple mpaka Hao Mediatek ili watengeneze modem lazima wagonge hodi kwa Qualcomm wapewe tech za modem. Kuna kipindi Apple alimkacha Qualcomm akachukua modem za Intel ghafla simu zao zikashuka speed vibaya mno na reception mbovu.
3. Ukaaji chaji Pia Tecno na kina Infinix hawafikii wenzao, ndio zinakaa na chaji siku hizi sema compare na specs bado, mfano wao Wana weka vioo hovyo vya 720p, processor dhaifu etc lakini unakuta simu zao hazikaji na chaji ama zinakaa sawa na simu za 1080p na processor kali.
Ikitokea kampuni kubwa Inaweka kioo chenye resolution ndogo na processor dhaifu unapata ukaaji chaji kama huu