Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Inatumia snapdragon 615, soc Ya mda sana, toka galaxy J7 ya mwanzo kabisa ya 2015.

Inategemea na matumizi Ila unaweza Pata simu nzuri zaidi used kwa hio bei.
Used kama ipi napata kwa bei hiyo?
 
Used kama ipi napata kwa bei hiyo?
Kwanza wenzie wa hio budget wanapatikana, mfano Galaxy J7 niliokutajia mpaka laki zipo.

Alternative ambazo ni nzuri zaidi ni flagship zake unaweza Google flagship za 2015, simu kama lg V10, HTC m9, etc unapata chini ya 150k Aliexpress.

Sema mwisho wa siku ni risk sana mkuu kununua simu ya 2015, imetumika vya kutosha,
 
Mkuu k2a laki2 napata sim gani mpya mkuu
 
Kwanza wenzie wa hio budget wanapatikana, mfano Galaxy J7 niliokutajia mpaka laki zipo.

Alternative ambazo ni nzuri zaidi ni flagship zake unaweza Google flagship za 2015, simu kama lg V10, HTC m9, etc unapata chini ya 150k Aliexpress.

Sema mwisho wa siku ni risk sana mkuu kununua simu ya 2015, imetumika vya kutosha,
LG zina Shida ya flicking na bootloop.
Zile ACTOMA ACE ni brand new si used
 
Hii picha nilipiga juzi usiku saa tano kwa kutumia Oppo. Naiwasilisha kama Challenge kwa Infinix na Tecno.
IMG20210306210603.jpg
 
Back
Top Bottom