Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Not worth it kwa muono wangu. Ina ram na storage nzuri na kubwa Ila soc Ya kizamani, unless bei ni chini ya laki
Chief-Mkwawa
huyu mnyama wa SANTIN ACTOMA ACE kwa 130K atafaa ukilinganisha na simu nyingine au ni toy tu?
 
Attachments

  • Screenshot_20210304-034838.png
    184.2 KB · Views: 9

Kwa kuwa wewe kwako simu ni kukaa na charge mda mrefu kupiga picha usiku na kushika mtandao una haki ya kuendelea kung’ang’ana na tecno

Ila tecno infinix oppo za mid range cjui xtigi au itel hapo hakuna simu kuna vikundi vya wahuni
 
Oppo ipo level ya i phone hizi oppo zenye matoleo ya mbele hata hizo i phone old vision hazioni ndani usichukulie jina kwa sababu ni oppo asia hizo sm zipo juu sn

Unajua sehemu mchina aliyowapigia wabongo na waswahili ni hapa na ndio maana unakuta mjinga kama huyu na baba joseph[emoji23][emoji23][emoji23] wanajaribu kulinganisha flagship phones ambazo zinakuwa na best panel na mid range phones
 
wapi ulichukua mkuu
 
Mkuu TV nchi ngapi na ni beii ganiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief-Mkwawa
huyu mnyama wa SANTIN ACTOMA ACE kwa 130K atafaa ukilinganisha na simu nyingine au ni toy tu?
Inatumia snapdragon 615, soc Ya mda sana, toka galaxy J7 ya mwanzo kabisa ya 2015.

Inategemea na matumizi Ila unaweza Pata simu nzuri zaidi used kwa hio bei.
 
Kwa kuwa wewe kwako simu ni kukaa na charge mda mrefu kupiga picha usiku na kushika mtandao una haki ya kuendelea kung’ang’ana na tecno

Ila tecno infinix oppo za mid range cjui xtigi au itel hapo hakuna simu kuna vikundi vya wahuni
Kwanza si kweli anadanganya..
1. Tecno hazina camera nzuri compare na brand nzuri na hii ni common sense inajulikana na sababu Mpaka Gsmarena zinakua reviewed tunaona quality yake kitaalamu na nyingi zinatumia camera fake, simu ina camera 3 lakini 1 tu inafanya kazi. Na simu zinazopiga vizuri kwenye low-light zina kitu kinaitwa OIS, optical image stabilization, kwa Tecno huo ni msamiati mgeni.

2. Linapokuja suala Zima la modem na reception Qualcomm Hana Mpinzani, mtu anaweza nunua simu refurb zimechezewa akaja kulala Mika kuhusu signal, Kampuni zote Duniani za Soc iwe Exynos ya Samsung, Kirin ya Huawei, A series ya Apple mpaka Hao Mediatek ili watengeneze modem lazima wagonge hodi kwa Qualcomm wapewe tech za modem. Kuna kipindi Apple alimkacha Qualcomm akachukua modem za Intel ghafla simu zao zikashuka speed vibaya mno na reception mbovu.

3. Ukaaji chaji Pia Tecno na kina Infinix hawafikii wenzao, ndio zinakaa na chaji siku hizi sema compare na specs bado, mfano wao Wana weka vioo hovyo vya 720p, processor dhaifu etc lakini unakuta simu zao hazikaji na chaji ama zinakaa sawa na simu za 1080p na processor kali.

Ikitokea kampuni kubwa Inaweka kioo chenye resolution ndogo na processor dhaifu unapata ukaaji chaji kama huu
 
Kwa kuwa wewe kwako simu ni kukaa na charge mda mrefu kupiga picha usiku na kushika mtandao una haki ya kuendelea kung’ang’ana na tecno

Ila tecno infinix oppo za mid range cjui xtigi au itel hapo hakuna simu kuna vikundi vya wahuni
Hata network Wenye Iphone na Sumsang huwa wananiazima hmtukiwa maporini, Tatizo lako umekariri tu hebu niambie ambacho Iphone au Samsung unaweza kufanya na Tecno ikashindwa
 
Mkuu Chief-Mkwawa naomba msaada wa uchambuzi wa hii simu nimeikuta AliExpress je kwa matumizi ya kawaida inafaa ? Na pia kuhusu network kwa bongo.
Asante
Simu: MEIZU 16Xs

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…