Ipi nzuri kati ya Kluger na Forester?

Ipi nzuri kati ya Kluger na Forester?

Hizi latest models zina engine kubwa sana, 3500cc petrol. Nina hakika fuel consumption haiwezi kuwa nzuri
Hizo latest ndio ni 3.5L mkuu sema consumption iko sawa tu sababu ni VVT-i ikiwa engine haina kipengele mbona unaishi nayo freshi tu.

Haliwezi likawa linakula chini ya 12km/l trust me and still you get more grunt from the mighty 3.5L V6
 
Hizo latest ndio ni 3.5L mkuu sema consumption iko sawa tu sababu ni VVT-i ikiwa engine haina kipengele mbona unaishi nayo freshi tu.

Haliwezi likawa linakula zaidi ya 12km/l trust me.

Sibishi but i doubt itakula zaidi ya hapa, mjiii itakula zaidi. Nasema hivi nikikinganisha na gari kama vanguard yenye 2400cc, vvt-i, na gearbox kubwa tu
 
Sibishi but i doubt itakula zaidi ya hapa, mjiii itakula zaidi. Nasema hivi nikikinganisha na gari kama vanguard yenye 2400cc, vvt-i, na gearbox kubwa tu
Inakula 8.7l/100 kms on paper which is 11.4 km/l ila practically inaweza shuka let say mpk 9.5km/l towntrips which is not bad for a 2 tonne car!
 
Unaweza kusafiri kutoka Dar to Mwanza ukiwa umekaa kwenye kiti ambacho kimebonyea ndani kiasi kile?
Iko kiti mnachozungumzia n kipi?,natumia forester 2008 ila sikioni iko kiti,maana hv viti vina option ya kuvipandisha kwa juu au kushusha kwa jins utakavyo,ok fine let say huzipend subaru forester,but concern ya kiti,consumption ya mafuta na uimara sio wa kulinganisha kluger,ujue kuna watu wanaabudu TOYOTA so brand zingine kwao hazifai,zinakunywa mafuta mara mbovu,hzo n notion za watu ambao hata kuzitumia hzo gari hawajawahi
 
Wabongo wengi wanadhani subaru forester kuanzia 2007 na kuendelea ndo zinaitwa subaru forester "XT"...kuna XT(yenye turbo) na XS(isiyo na turbo) ...hata za miaka ya 2007 kurudi nyuma zipo hivyohivyo.

Kuna watu wanaagiza forester xt wakiletewa wanalalamika kwamba walitaka ambayo haina turbo...hahaha
 
Back
Top Bottom