tvs service yake inagharimu kiasi gani na muda gani au inakuaje naomba unielekeze gharama zake naweza kugharimu kiasi gani naomba unisaidie.TVS HLX 150 ni ngumu sana huwezi zikuta zimeharibika kiurahisi, usipojali bei ghali ya spea zake basi mostly ni genuine!!...
Na umesema ni kwa matumizi yako binafsi basi chukua TVS HLX 125 inaenda Km 65-70 kwa lita moja fikiria umesave kiasi gani!!!!...
125 or 150?, halafu service ya kawaida gharama ni sawa kwa vyombo vyote tu mkuu!.tvs service yake inagharimu kiasi gani na muda gani au inakuaje naomba unielekeze gharama zake naweza kugharimu kiasi gani naomba unisaidie.
inaamaana ikiwa kila wiki nafanya service nikibadilisha oil na hiyo plug na nikimpa mtu kwa hesabu ya 50000 mm nitabaki na 27000 tu kwa wiki kweli gharama kubwa asante125 or 150?, halafu service ya kawaida gharama ni sawa kwa vyombo vyote tu mkuu!.
• Oil (20w50 yoyote)- elfu 7-8 depends na soko lenu.
• fundi 3,000 to 5,000 kwa service ya oil depends na unapoenda pia!.
Kama vifaa minor basi:
•Spark Plug ya TVS original ni elfu 8-10 depends na muuzaji wako na zinaingiliana Tvs king na ya Tvs hlx.
Ukiwa mtunzaji service kubwa baada ya mwaka 1 or ukiwa sio rafu basi hata miaka 2-3 kuanza gusa service kubwa. We zingatia tu service kila baada ya wiki 1 au wiki 2 chombo yako na tumia oil namba 20w50 mafundi wengi wanaweka 20w40 ambayo sio nzuri kwa uhai wa chombo.
Vingine nitakuwa nawapigia promi sasa, ila we jua hakuna pikipiki bora zaidi ya TVS Tanzania hata Boxer hafui dafu kwao!..
Sawa lkn kwanza nafanya uchunguzi nijue changamoto zakeTVS, na ukitaka kufanya fanya, hakuna biashara rahisi
Nataka kwa bodaboda lkn watu wengi wanasifia tvsBoxer ni smoother and durable. Wanaosema TVS inadumu ni kwa vile wanalinganisha na Boxer ambazo zinatumikishwa kufanya bodaboda ilhali TVS nyingi ni private.
Ingekuwa Three Wheeler ndio ningekushauri uchukue TVS
Fekon, SunLG na the likes ukinunua ukazipiga service cheap ya elfu 5 tu. Umefatiria zinadumu muda gani ukimpa mtu!?..Ahsante sana
inaamaana ikiwa kila wiki nafanya service nikibadilisha oil na hiyo plug na nikimpa mtu kwa hesabu ya 50000 mm nitabaki na 27000 tu kwa wiki kweli gharama kubwa asante
Hapana hivi sasa ndio nipo katika reserch nataka nianze karibuniFekon, SunLG na the likes ukinunua ukazipiga service cheap ya elfu 5 tu. Umefatiria zinadumu muda gani ukimpa mtu!?..
Maamuzi memamkuu.Hapana hivi sasa ndio nipo katika reserch nataka nianze karibuni
Unaijua Honda ace 125 vzr lakini kabla ya kusema hakuna pikipiki bora kuliko tvs125 or 150?, halafu service ya kawaida gharama ni sawa kwa vyombo vyote tu mkuu!.
• Oil (20w50 yoyote)- elfu 7-8 depends na soko lenu.
• fundi 3,000 to 5,000 kwa service ya oil depends na unapoenda pia!.
Kama vifaa minor basi:
•Spark Plug ya TVS original ni elfu 8-10 depends na muuzaji wako na zinaingiliana Tvs king na ya Tvs hlx.
Ukiwa mtunzaji service kubwa baada ya mwaka 1 or ukiwa sio rafu basi hata miaka 2-3 kuanza gusa service kubwa. We zingatia tu service kila baada ya wiki 1 au wiki 2 chombo yako na tumia oil namba 20w50 mafundi wengi wanaweka 20w40 ambayo sio nzuri kwa uhai wa chombo.
Vingine nitakuwa nawapigia promi sasa, ila we jua hakuna pikipiki bora zaidi ya TVS Tanzania hata Boxer hafui dafu kwao!..
Ipo kwa wingi kwenye Mainstream!?.. Halafu kwa taarifa yako Pikipiki bora zaidi (bodaboda) zilikuwa ni Hero lakini zimepotezwa sokoni hawakua na strategy kuzipromote.Unaijua Honda ace 125 vzr lakini kabla ya kusema hakuna pikipiki bora kuliko tvs
Ki ukweli kwa pikipiki zilizopo sokoni tvs inaubora kuliko zingine lakini kwa kazi ya boda boda inategenea na maeneo kunamtu utamkuta kazi yake ya boda boda anafanyia maeneo ya soko ambapo lazima atakutana na mizigo mizito kdg tvs shock up zake sio imara kwa mizigo ni nzuri kwa mizunguko ya kawaida na kupakia abiria peke yake.Ipo kwa wingi kwenye Mainstream!?.. Halafu kwa taarifa yako Pikipiki bora zaidi (bodaboda) zilikuwa ni Hero lakini zimepotezwa sokoni hawakua na strategy kuzipromote.
Pikipiki bora inayobakia ni TVS HLX. Tunapoongelea ubora tunaangalia na ukubwa wa soko lake!. Nikikwambia pikipiki bora ni za BMW/Benz utabisha!?..
Sorry boss natumia boxer Bm 150 now, ni kwa matumizi binafsi but nna mpango wa ku change pkpk so vipi kuhusu hiyo tvs 150 itanifaa?125 or 150?, halafu service ya kawaida gharama ni sawa kwa vyombo vyote tu mkuu!.
• Oil (20w50 yoyote)- elfu 7-8 depends na soko lenu.
• fundi 3,000 to 5,000 kwa service ya oil depends na unapoenda pia!.
Kama vifaa minor basi:
•Spark Plug ya TVS original ni elfu 8-10 depends na muuzaji wako na zinaingiliana Tvs king na ya Tvs hlx.
Ukiwa mtunzaji service kubwa baada ya mwaka 1 or ukiwa sio rafu basi hata miaka 2-3 kuanza gusa service kubwa. We zingatia tu service kila baada ya wiki 1 au wiki 2 chombo yako na tumia oil namba 20w50 mafundi wengi wanaweka 20w40 ambayo sio nzuri kwa uhai wa chombo.
Vingine nitakuwa nawapigia promi sasa, ila we jua hakuna pikipiki bora zaidi ya TVS Tanzania hata Boxer hafui dafu kwao!..
Kwa biashara sikushauri HLX 150 chukua HLX 125 lakini kama unapopigia kazi ni maeneo magumu, majimaji basi chukua hiyo HLX 150 itakubeba!..Sorry boss natumia boxer Bm 150 now, ni kwa matumizi binafsi but nna mpango wa ku change pkpk so vipi kuhusu hiyo tvs 150 itanifaa?
Nimekuelewa vizuri sana mkuu, ila shida nyingine ambayo sometime inanifanya nibaki na boxer ni shape za hizi tvs!Kwa biashara sikushauri HLX 150 chukua HLX 125 lakini kama unapopigia kazi ni maeneo magumu, majimaji basi chukua hiyo HLX 150 itakubeba!..
HLX125 iliundwa kwa ajiri ya uchumi wa mtu wa chini as inatumia mafuta kidogo sana!.. HLX 150 iliundwa mahususi kwa watu wa milimani na sehemu za matope!.
Hii ni ipi sister?