Inabidi ashukie kiabakari asifike musoma mjini then achukue Bajaj mpaka butiama centreKuna basi za dar musoma via bariadi, ukifika musoma unachukua magari ya kwenda Butiama
Ahsante sana, Nauli ya Bajaji kutoka Kiabakari hadi Butiama Centre ni Tsh ngapi?
Ahsante sana, umenisaidia pakubwa.👏👏👏Mtoa mada kuwa makini, humu kuna watu hawajui kitu lakini wepesi kutoa ushauri, utapotea.
Panda Bus zinazoenda Musoma au Tarime kutoka Dar, kuna Johanvia, Happy Nation, Abood na Allys hizi za Musoma, ya Tarime kuna Best Line. Kituo unachoshukia ni KIABAKARI, hapa ndio kuna njia panda ya kwenda Butiama, utapata bajaji au Noah nauli 2000.
Zingatia sana muda wa kutoka Dar, usije kufika kiabakari usiku wa manane hutapata usafari wa Butiama.
Nauli za bus ni 80k mpaka 95k kulingana na bus.
Shughuli za kiuchumi za Butiama ni Kilimo na ufugaji mdogo na biashara ndogo ndogo, Butiama ni wilaya maskini sana sana, hakuna maendeleo makubwa,kama ni mtu wa luxury na njia za maisha za jijini, huku itakubidi ucheze kulingana na biti.
Soma ushauri huoAhsante sana, Nauli ya Bajaji kutoka Kiabakari hadi Butiama Centre ni Tsh ngapi?
Kama kwa mguu bora apite Beach kwa Beach akachepukie mombasa.Unaenda kwa mguu au gari?
Butiama Kuna chuo kikuu kinajengwa wanasema kikikamilika kitachangamsha sana mji wa butiamaMtoa mada kuwa makini, humu kuna watu hawajui kitu lakini wepesi kutoa ushauri, utapotea.
Panda Bus zinazoenda Musoma au Tarime kutoka Dar, kuna Johanvia, Happy Nation, Abood na Allys hizi za Musoma, ya Tarime kuna Best Line. Kituo unachoshukia ni KIABAKARI, hapa ndio kuna njia panda ya kwenda Butiama, utapata bajaji au Noah nauli 2000.
Zingatia sana muda wa kutoka Dar, usije kufika kiabakari usiku wa manane hutapata usafari wa Butiama.
Nauli za bus ni 80k mpaka 95k kulingana na bus.
Shughuli za kiuchumi za Butiama ni Kilimo na ufugaji mdogo na biashara ndogo ndogo, Butiama ni wilaya maskini sana sana, hakuna maendeleo makubwa,kama ni mtu wa luxury na njia za maisha za jijini, huku itakubidi ucheze kulingana na biti.
Ni kweli, ujio wa wageni utachangamsha wazanaki.Butiama Kuna chuo kikuu kinajengwa wanasema kikikamilika kitachangamsha sana mji wa butiama
Kaka wewe unaonekana unapajua vizuri. Umetoa maelezo yamenyooka haswa.Ni kweli, ujio wa wageni utachangamsha wazanaki.