Nimecheka asee, sisi wenye majina magumu kutamkika lazima tutafute vifupisho ili walau...Jina langu kifupi chake ni Min.....
Me ,nilimaanisha mimi
Hivyo kwa sababu jina langu nigumu kidogo kulitaamka watu huishia kuniita MIN
Ungetafuta kujua origin yenu, Gonja kuzuri sana nimefika mara moja.Yah upo sahihi mkuu, nimezaliwa Arusha nmekulia Sana Arusha, huko gonja Hua napasikia tuu kwa ndugu
Ntalifanyia kaziUngetafuta kujua origin yenu, Gonja kuzuri sana nimefika mara moja.
Yeah , jina langu mtu akilijua sana huishia kuniita Min , kwa sababu kwenye utoto nilipata jina jingine kutoka ukatolikini kwa mzee wangu , hilo huwa ndio jina langu maarufu kitaaNimecheka asee, sisi wenye majina magumu kutamkika lazima tutafute vifupisho ili walau...
Usihofu mkuu wadau ni wengi humu ndani, lazima tutakufanyia manuva kabla mwaka huu haujaisha, ushindwe kukwea pipa hata ungo nao usipande aiseee!, hiyo haiwezekani tena ni mbaya.Mm ndo msindikizaji humu
Tawire πͺUsihofu mkuu wadau ni wengi humu ndani, lazima tutakufanyia manuva kabla mwaka huu haujaisha, ushindwe kukwea pipa hata ungo nao usipande aiseee!, hiyo haiwezekani tena ni mbaya.
Nipo ππrasta wa kispanyola , nna siku sijakuona upo kumbe
Powa za kwakoMambo
Poa, naomba namba yako, unaniruhusu nije pm?Powa za kwako
πππππH series niliwahi kuiona, wanapigana miti sana humo sio poa π
Pm nimefunga mkuu mpaka wakati mwinginePoa, naomba namba yako, unaniruhusu nije pm?
Bc naomba unichek pmPm nimefunga mkuu mpaka wakati mwingine
Huwezi kuzungumza hapa?Bc naomba unichek pm
Haha!! Noma sana hii..Mie sio mtumiaji wa vinywaji vya viwandani, ie baridi au kilevi, mie situmii.
Sasa siku ya Graduation ya 4m 6, nilillazimishwa kunywa soda ya coca cola, bas baadae niliaanza kutapika, tumbo kuuma, nilikua hadi nalia,
Ndipo wanafunzi wenzangu wakaanza kunitania, "coca imempiga mtu" mara Coca imemchapa"
Ndipo nilipoamua kutumia hili jina, cocastic, ni kuwa coca, soda, stick ni fimbo, ila nikaitoa k. Imebaki "Cocastic".
Duhh!!Bwana ni system ya kuwapata , uwajibikaji wa majaji katika nchi ya marekani. Mahakama katika nchi ya marekani ipo zaidi ya huru yaani jaji wa wilaya anaweza kublok maamuzi ya Trump na hakuna kitu trump anaweza kufanya.
HatariiiHaha!! Noma sana hii..