Nilipozamia mambele,kazi yangu ya kwanza kabisa ilikua ni kwenye Meli zinazoitwa
The Icebreaker
Hizi ni Meli za kuvunja barafu,zilizoundwa mahususi,ambazo hupitia kwenye maji yaliyofunikwa na barafu ili kutoa njia salama kwa meli zingine kupita,
Hizi Meli zina mfumo wa nguvu ya kusukuma na zina umbo la kipekee,kule mbele zina umbo kama kijiko au pembe,umbo hilo linaruhusu kupanda kwenye barafu na kuziponda kwa uzito wake,kuna movie pia inaiwa The Icebreaker,humo utaona jinsi Meli ilivyo,
Japo kazi hii sikuifanya kwa muda mrefu but ndio sehemu niliyoanzia safari moja iliyo anzisha safari zingine,
Hapo ndio asili ya hii ID yangu ilipo anzia.
cc
Joanah min -me Depal Demi Evelyn Salt Hannah