Hapo nimeelewaLabda wakati anafungua hiyo ID yake,kuna mtu alikua anatumia hilo jina, kisha mtu huyo akaja kubadili jina hilo huko mbeleni,
Kuna watu humu JF kila mara hua wanabadili Username zao.
IceBreaker Le Platinum Member 🔥Nilipozamia mambele,kazi yangu ya kwanza kabisa ilikua ni kwenye Meli zinazoitwa The Icebreaker
Hizi ni Meli za kuvunja barafu,zilizoundwa mahususi,ambazo hupitia kwenye maji yaliyofunikwa na barafu ili kutoa njia salama kwa meli zingine kupita,
Hizi Meli zina mfumo wa nguvu ya kusukuma na zina umbo la kipekee,kule mbele zina umbo kama kijiko au pembe,umbo hilo linaruhusu kupanda kwenye barafu na kuziponda kwa uzito wake,kuna movie pia inaiwa The Icebreaker,humo utaona jinsi Meli ilivyo,
Japo kazi hii sikuifanya kwa muda mrefu but ndio sehemu niliyoanzia safari moja iliyo anzisha safari zingine,
Hapo ndio asili ya hii ID yangu ilipo anzia.
cc Joanah min -me Depal Demi Evelyn Salt Hannah
Hii hii miti mkuuKupigana miti hii hii mkuu au una maana nyingine???
sijajua ila ilinikatalia. Ngoja nijaribu kubadiliMbona nnimetafuta upo mwenyewe tu mkuu?
Ni Vincenzo ipi hiyo jamani mbona niliyoiona mm hata kiss tuu za kumulika na tochi?? Vincenzo Jr njoo utusaidie hapa 😁😁😁😁😁😁Hii hii miti mkuu
Niamini mm mkuuNi Vincenzo ipi hiyo jamani mbona niliyoiona mm hata kiss tuu za kumulika na tochi?? Vincenzo Jr njoo utusaidie hapa 😁😁😁😁😁😁
Basi tusaidiane link hiyo itanifaa sana kuangalia usiku 😁😁😁Niamini mm mkuu
Nimejaribu kubadili bado inaniambia linatumika.Mbona nnimetafuta upo mwenyewe tu mkuu?
Au niandike The Sheillah😂😂Njoo PM upate msaada.
😀
Hiyo username haipo,sijui kwanini inakwambia hivyo,Au niandike The Sheillah😂😂
Au litakuwa jina la mod😂. Kama sio la Cookie sijuiHiyo username haipo,sijui kwanini inakwambia hivyo,
Jaribu kuanza na s kwa herufi ndogo na sio capital letter
Wasiliana na Moderator,something wrong!Au litakuwa jina la mod😂. Kama sio la Cookie sijuiView attachment 3488932
Hata herufi ndogo inakataa.
Ngoja niwasilishe lalamiko langu.Wasiliana na Moderator,something wrong!
Au weka ile The Sheillah tuwe pamoja.
Sawa kabisa,jina limependeza,tembea na hilo hilo limekupendeza sana.Ngoja niwasilishe lalamiko langu.
Jina likianza na The naona linakuwa kiumeni sana😂. Labda liwe Sheillah The Icebreaker .
Ah Ngoja niitafute mkuuBasi tusaidiane link hiyo itanifaa sana kuangalia usiku 😁😁😁
Asante kwa kibaliSawa kabisa,jina limependeza,tembea na hilo hilo limekupendeza sana.
Ndio maana kumbe ulimuita aje pmSawa kabisa,jina limependeza,tembea na hilo hilo limekupendeza sana.
Kwa sababu i am who i am 👤IntrovertIlikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?
Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?
Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe unavyotaka.
Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.