Ipi sababu ilikufanya ukachagua username unayoitumia sasa?

Kwa sasa bado unanyonya mbususu au umeacha?
 
Wakati nazaliwa nilijikuta nimevimba komwe sana baada ya kuzabuliwa makofi na nesi.

Hili liliniliza sana kiasi kwamba komwe likazidi kuumuka.

Tangu hapo nikabatizwa kwa jina la baba na la mwana na la BICHWA KOMWE.
 
Mi huwa najua labda umelitoa kwenye zile series za azam two kuna mtu alikuwa anaitwa Seyran 😀
Duhh hata siangaliagi hizo series eti, ni mtu tu alikuwa anapenda kuniita hivyo miaka mingi imepita, kama 10, japo initials katoa kwenye jina langu, kwahiyo nikitaka kufungua useless accs nalitumia chapchap!
 
isingekuwa usumbufu nahisi ungebadilisha na kuwa jina lako official kwenye vyeti ?
 
Lipo neno la kiarabu ila nahisi halina "r" linasomeka " mawaddat",

Na wewe kwa nini ulichagua Win-one, lina maana yoyote
niliambiwa mimi ni mshindi toka nipo mdogo na mimi ndo napita humo humo sema nikafanya kuiwekea hiyo nakshi ya one"🤭😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…