Ipi simu kali kati ya Oppo vs vivo

Ipi simu kali kati ya Oppo vs vivo

Zote zinakaa na chaji lakini wakati mwingine inategemea na matumizi.
Natumia oppo nikitumia sana inakaa 24 hr lakini matumizi ya wastani ni siku mbili
 
Sijazungumzia specification,
Appearance yake ya kioo na features wamezi set kama iphone
Ndo kioo kina punch hole mkuu

oppo-a54-1.jpg

Iphone zina notch mfano iphone i3 hizi
gsmarena_003.jpg
 
Sijazungumzia specification,
Appearance yake ya kioo na features wamezi set kama iphone
Kama Oppo A54 unasema inafanana na iPhone, iwe yeyote ile basi kwenye masuala ya simu hauna complications simu yoyote unatumia.

Swali la mada yako halina jibu kwa kuwa hakuna simu inaitwa Oppo wala inayoitwa Vivo, hizo ni brands za simu. Taja model za simu usaidiwe kulinganisha usiwe kama huyo J. Tega hapo juu aliyesema ununue Samsung au iPhone. Ukimpa Vivo V70 Pro+ anaweza kusikitika kwa tatizo lake la kukariri
 
Yes mkuu, na mie niliweka general ili kila mdau aisifie simu yake anayotumia in case anatumia moja kati ya izo chapa mbili ....

Mimi sina complication sanaa ila huwa naangalia brands sanaa, brand kama Tecno, Itel, Infinix ata watoe simu zenye satellite Mimi nikiona tu izo chapa SINUNUI NA SITUMIIII
 
Mtu asikuambie Vivo na Oppo kampuni moja ya BBQ, ni kweli ila operating systems ni tofauti na hawashirikiani kwenye research and development. BBQ Electronics wana Vivo, OnePlus, Realme na iQOO na wote hawa wana tofauti.

Mfano OnePlus OS yao haipendwi mpaka ikafikia muda fulani mwaka jana kuna simu zake wanazitoa zinatumia ColorOS. Kuanzia mwaka jana OnePlus ndio wameanza kushirikiana kwenye R & D na Oppo. Binafsi naipenda ColorOS kuliko hiyo ya Vivo ila kwenye hardware hapo linganisha simu zenyewe.

Tofauti inazidi pengine mfano flagship za OnePlus wanaitumia kampuni ya Hasselblad kutoka Sweden kwenye camera systems ukiachana na sensors. Alafu Vivo ndio kama hivyo mwaka jana walianza tumia Zeiss ya Ujerumani kwenye flagship zao. Hivyo hizi simu zina tofauti tu.

Kama uliziona Honor na Hauwei ilikuwa kampuni moja ila zinatofautiana sana kabla hawajaiuza Honor.

Hata Infinix, Tecno na Itel zinamilikiwa na kampuni moja
 
Mimi natumia vivo Y11.Ni Simu nzuri kwa bajeti yake.inafanana na samsunga A10..
Mpaka Sasa naona kila kitu Kiko sawa kuanzia kukaa nanchaji, camera hata Hardware. Os yake ni funtouch ni nzuri tu. Kama una hela Sana nunu Vivo Y 20. Kama huna hela Sana nunua Y12.
Oppo pia ni brand nzuri
 
Oppo....
Vivo......
Yan hayo majina tu nachoka kabisaaa.Nimeshaathirika na samsung..
Sidhan kama nitaweza kwakwel kutumia hizo vitu.
Kwa mbaaaaaaali kidogo infinix nimeanza kuiona kama simu siku hiz.
Unaona Infinix ni Simu halafu unazikagaa Oppo na vivo. Hizo ni Simu worldwide. Infinix haina tofauti na itel na tekno.
 
Vivo wako vizuri haswa kwenye chaji na camera
 
Unaona Infinix ni Simu halafu unazikagaa Oppo na vivo. Hizo ni Simu worldwide. Infinix haina tofauti na itel na tekno.
Siioni infinix cm ila angalau kwa stage ya jina atleast nimeizoea masikion achana na kuingia kwenye matumizi...oppo!!!!! Vivo!!!! Imagine 😂😂
 
Oppo....
Vivo......
Yan hayo majina tu nachoka kabisaaa.Nimeshaathirika na samsung..
Sidhan kama nitaweza kwakwel kutumia hizo vitu.
Kwa mbaaaaaaali kidogo infinix nimeanza kuiona kama simu siku hiz.
Ah ah ah Infinix utaliaaaa yaanninfinix ni Tecno iliyochangamka
 
Siioni infinix cm ila angalau kwa stage ya jina atleast nimeizoea masikion achana na kuingia kwenye matumizi...oppo!!!!! Vivo!!!! Imagine 😂😂
Ulishawahi kuona mkbh, unboxing therapy hata siku moja wakifanya review ya simu za infinix, tecno et el?
Ila uwa wanareview vivo na oppo. Tena vivo x70 pro+ ni kati ya simu zenye camera bora kabisa ya kuchukua picha kwenye total darkness
 
Unbox therapy nimemuona anafanya review ya infinix nadhani zero x
 
Vivo wapo vizuri nimemchukulia mchepuko wangu vivo 12s anaisifia ina kaa sana na chaji
 
Yes mkuu, na mie niliweka general ili kila mdau aisifie simu yake anayotumia in case anatumia moja kati ya izo chapa mbili ....

Mimi sina complication sanaa ila huwa naangalia brands sanaa, brand kama Tecno, Itel, Infinix ata watoe simu zenye satellite Mimi nikiona tu izo chapa SINUNUI NA SITUMIIII
Kwann
 
Back
Top Bottom