Wakuu nahitaji kununua smu brand ya iPhone , kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera , mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri Kwa picha na hata video , Kwa wale waliowahi kutumia hzi simu ipi ipo Bora zaidi Kati ya hzo nilizozitaja ... Japo naona zote MP 12 Ila naamini ubora unapishana somehow ....
Natanguliza shukrani
Naitumia hapa. Mchawi battery tu ila vingine ni top notch.achana nazo hizo tafuta google pixel 4 hakuna anae makamata hapo
Chukua iPhone 11 kwa sababu hiziWakuu nahitaji kununua smu brand ya iPhone , kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera , mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri Kwa picha na hata video , Kwa wale waliowahi kutumia hzi simu ipi ipo Bora zaidi Kati ya hzo nilizozitaja ... Japo naona zote MP 12 Ila naamini ubora unapishana somehow ....
Natanguliza shukrani
Tafuta XIAOMI MI 12 ULTRA
Tafuta samsung A13 CAMERA UMEME Samhani lakini
Nashukru Kwa michango yenu , Samsung nishatumia , na MI nishatumia , japo siyo matoleo hayo , labda hyo Google pixel ndo bado , Iko hv Mimi matumizi ya camera na video ni makubwa Sana , shughuli zangu zinahtaji matumizi makubwa ya camera , tatizo la brand zingine hzo Wana camera nzuri lakini zinawah ku_flop , yaani ukiiitumia sana non stop inaanza kutoa picha vibaya , mpak itulie tena ,achana nazo hizo tafuta google pixel 4 hakuna anae makamata hapo
Nitaangalia iPhone 11Formula ya kuchagua iPhone ndogo sana sio kama simu za Android.
The latest the better.
Sema ikija issue ya value for money ndio utata unapokuja mfano kwann uchukue XS kwa bei kubwa wakati ni sawa na X kabisa.
Au kwanini uchukue XR kwa bei kubwa wakati ni downgrade ya X?
Ila kwa izo chukua iPhone 11 kama budget sio tatizo.
PS: Nimefuata masharti yako ya kutaka iPhone tu na ni izo ulizotaja..
Ukitaka alternative fuata ushauri wa wadau wengine hapo juu.
Ikiwezekana kaa umbali wa mita 200 kutokea thread hii.Sie wa Tecno hapatuhusu
Haya tajiriIkiwezekana kaa umbali wa mita 200 kutokea thread hii.
Tafuta XIAOMI MI 12 ULTRA
achana nazo hizo tafuta google pixel 4 hakuna anae makamata hapo
Mbona mnamletea machaguo ambayo yeye hajayagusia?Tafuta samsung A13 CAMERA UMEME Samhani lakini
Kwa haraka haraka kwa budget yako ya hizo iPhone old model upande wa camera hazita fikia midrange za xiaomi, ila kwa kua umesema umeshatumia MI products, shauri yako mkuu, kanunue hizo sim jeraNashukru Kwa michango yenu , Samsung nishatumia , na MI nishatumia , japo siyo matoleo hayo , labda hyo Google pixel ndo bado , Iko hv Mimi matumizi ya camera na video ni makubwa Sana , shughuli zangu zinahtaji matumizi makubwa ya camera , tatizo la brand zingine hzo Wana camera nzuri lakini zinawah ku_flop , yaani ukiiitumia sana non stop inaanza kutoa picha vibaya , mpak itulie tena ,
Unapopiga picha inatoka vizur , Ila ukiifanyia editing inakuwa blurred, na ukipost inapungua ubora , ...
Naona iPhone wako vzur , picha zina mng'ao fulan hv, somehow ubora unakuwa maintained
Iphone 11 ni nzuri zaidi kwenye hizo.Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila naamini ubora unapishana somehow.
Chief-Mkwawa , Mwl.RCT
Natanguliza shukrani
Unless unatumia program inayo compress picha kama whatsapp na ifananiavyo, au unatumia modes zinazo blur kama portrait mode ngumu kwa simu za sasa kutoa blur pic hasa flagship.Nashukru Kwa michango yenu , Samsung nishatumia , na MI nishatumia , japo siyo matoleo hayo , labda hyo Google pixel ndo bado , Iko hv Mimi matumizi ya camera na video ni makubwa Sana , shughuli zangu zinahtaji matumizi makubwa ya camera , tatizo la brand zingine hzo Wana camera nzuri lakini zinawah ku_flop , yaani ukiiitumia sana non stop inaanza kutoa picha vibaya , mpak itulie tena ,
Unapopiga picha inatoka vizur , Ila ukiifanyia editing inakuwa blurred, na ukipost inapungua ubora , ...
Naona iPhone wako vzur , picha zina mng'ao fulan hv, somehow ubora unakuwa maintained
hapa hujakosea umelenga mulemuleTafuta XIAOMI MI 12 ULTRA