Mkuu MI nimeanza kutumia kuanzia redmi note 5A, note 8 , nikadamkia note 10 pro , sikatai Wana simu nzuri , Ila tech software Kwa camera for heavy user asikudanganye mtu hamna simu mle , unajaziwa MP mpak 108 , Kwa matumizi madogo madogo it is okey , na hii unafanya picha moja inakuwa na MB nyingi ....!! Camera inawahi kuchoka , Kuliko kununua xiaom 12 ultral ni Bora niongezee hela nikanunue macho matatu 13...!!!
Hzo model nilizotaja umeziita old model, lakn still Kwa level hzo brand zingine ni matoleo machache wanaweza ku_catch, juzi nimeagizia watu hzi smu japo ni second hand Ila nimeona performance tofaut kabisa na smu hzi zingine ...
Ni aheri nipande ninunue iPhone 12 pro , kuliko kuchepukia Hz brand zingine