Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

Shukran mkuu ngoja nijarbu kwenye PC

Nakukumbusha tu, kama unafanya kazi zako za editing kwenye pc especially windows pc aise kuhamisha picha, clip video kwenye iPhone kwenda kwenye pc itakuwa na usumbufu kidogo japo utazoea
 
Mkuu nunua Xiaomi Mi 11 Ultra, samahani lakini
Hiyo iPhone 11 ina display ya ovyo
Xiaomi Mi 11 Ultra ina uwezo kuliko hiyo iPhone 11, inatoa picha kali kuliko iPhone11, display quality yake ipo juu kuliko iPhone 11, bado sio outdated kama iPhone 11. Tena Xiaomi Mi 11 Ultra inarekodi hadi 8K videos, hiyo iPhone 11 inaishia 4K
Kama bei ni laki nane nunua hata Xiaomi 12 Lite
 
Mkuu MI nimeanza kutumia kuanzia redmi note 5A, note 8 , nikadamkia note 10 pro , sikatai Wana simu nzuri , Ila tech software Kwa camera for heavy user asikudanganye mtu hamna simu mle , unajaziwa MP mpak 108 , Kwa matumizi madogo madogo it is okey , na hii unafanya picha moja inakuwa na MB nyingi ....!! Camera inawahi kuchoka , Kuliko kununua xiaom 12 ultral ni Bora niongezee hela nikanunue macho matatu 13...!!!

Hzo model nilizotaja umeziita old model, lakn still Kwa level hzo brand zingine ni matoleo machache wanaweza ku_catch, juzi nimeagizia watu hzi smu japo ni second hand Ila nimeona performance tofaut kabisa na smu hzi zingine ...

Ni aheri nipande ninunue iPhone 12 pro , kuliko kuchepukia Hz brand zingine
Mkuu umetumia "Xiaomi Redmi" hapa tunashawishi utumie "Xiaomi Mi" sio Redmi. Redmi ni simu za chini kabisa za kampuni ya Xiaomi na zinamake sense kuliko Samsung A series
Lakini Xiaomi Mi ni flagship, ungetumia Xiaomi Mi, nadhani usingekua na mtazamo wa namna hiyo juu ya Xiaomi. Xiaomi 12S Ultra ina 50MP tu na imefunika Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye kamera. Xiaomi Mi 11 Ultra ina 50MP tu na imepita simu karibia zote za bei hiyo kwa kamera, hadi zile zenye 108MP
Nunua Xiaomi Mi kama una hela ya kutosha, sio Redmi
 
Mkuu umetumia "Xiaomi Redmi" hapa tunashawishi utumie "Xiaomi Mi" sio Redmi. Redmi ni simu za chini kabisa za kampuni ya Xiaomi na zinamake sense kuliko Samsung A series
Lakini Xiaomi Mi ni flagship, ungetumia Xiaomi Mi, nadhani usingekua na mtazamo wa namna hiyo juu ya Xiaomi. Xiaomi 12S Ultra ina 50MP tu na imefunika Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye kamera. Xiaomi Mi 11 Ultra ina 108MP na imepita simu karibia zote za bei hiyo kwa kamera
Nunua Xiaomi Mi kama una hela ya kutosha, sio Redmi
Umemaliza kabisaa mkuu,redmi atuachie sisi walala hoi😀😀
 
Taja hizo weakness za mi? maana mimi nina mi 9 se namwaka wa tatu sasa naona ubora ule ni ule ule tu
Mwaka wa 3 unatumia simu 1 tu umefunga nayo ndoa!
Sikai na simu zaidi ya mwaka1 mimi
 
Mtu kauliza very specific simu anazozitaka
Wananzengo wanashusha mapendekezo ya ajabu kweli [emoji23][emoji23]

Kwenye mambo ya technology mara nyingi sana huwa “the latest the better”

Kila toleo jipya linakua limeboreshwa zaidi ya toleo la nyuma
Hapo issue ni budget tu
 
wingi/ukubwa wa megapixel ndio hudhihirisha quality ya picha?
 
wingi/ukubwa wa megapixel ndio hudhihirisha quality ya picha?
Hapana. Ubora wa picha kwenye simu unategemea zaidi Camera sensor na software. Hizo megapixel ni wingi tu wa pixel na utaziona kwenye zooming (ndio maana iphone 14 ina 12MP lakini inatoa picha nzuri kuliko infinix note 12 yenye 50MP)
 
Kwa hyo nikiwa na iphone sipat yaccine tv tena[emoji848][emoji848]
 
"Shoot raw" i hope umeelewa hili neno, raw simu inakuwa haifanyi processing ya picha, processing unaimalizia kwenye pc.
Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?.
 
Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?.
Hiyo 470K unapata pixel moja matata ila itakua used au refurbished, ila ukienda kwa Xiaomi unapata midrange mpya.
 
Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?.

Muombe akupunguzie bei uchukue Mkuu,mimi ndyo ninayotumia ni simu nzuri sana.
 
mchawi betri kivipi?
tupe somo sisi wa infinix hot 500
Mkuu unafukua makaburi. Story iko hivi:

Nilikua na iPhone 11, nikataka iende dukani kwa matumizi ya shop, nikanunua Pixel 4 yenye 64GB used kwa Tsh 550,000/= iyo ni August 2022.

Nilichogundua tokea day 1 nilivoanza kutumia:
1. Display ilikua downgrade kiasi kutoka kwenye iPhone 11.
2. Battery yake ndogo sana. Kwa siku unachaji mara kibao inabidi nitembee na chaja muda wote.
3. Camera yake kali sana kukiwa na mwanga wa kutosha, au kwenye rangi tofauti tofauti. Portrait zake sio kali sana zinakosea edge detection. Iyo ata Pixel latest naona wana ugonjwa same.
4. Pixels zinashuka sana bei. Mfano hii hii nilienda same duka sahivi anauza 300k.
5...

Nitabadirisha simu by December nitarudi iPhone. Nikiwa fresh.
 
Back
Top Bottom