Masuonline
Senior Member
- Jun 4, 2013
- 192
- 17
Shukran mkuu ngoja nijarbu kwenye PC
Hizo xiaomiBei za simu gani mkuu
Mbona kuna zipo mpaka za 130k mkuuHizo xiaomi
Mkuu umetumia "Xiaomi Redmi" hapa tunashawishi utumie "Xiaomi Mi" sio Redmi. Redmi ni simu za chini kabisa za kampuni ya Xiaomi na zinamake sense kuliko Samsung A seriesMkuu MI nimeanza kutumia kuanzia redmi note 5A, note 8 , nikadamkia note 10 pro , sikatai Wana simu nzuri , Ila tech software Kwa camera for heavy user asikudanganye mtu hamna simu mle , unajaziwa MP mpak 108 , Kwa matumizi madogo madogo it is okey , na hii unafanya picha moja inakuwa na MB nyingi ....!! Camera inawahi kuchoka , Kuliko kununua xiaom 12 ultral ni Bora niongezee hela nikanunue macho matatu 13...!!!
Hzo model nilizotaja umeziita old model, lakn still Kwa level hzo brand zingine ni matoleo machache wanaweza ku_catch, juzi nimeagizia watu hzi smu japo ni second hand Ila nimeona performance tofaut kabisa na smu hzi zingine ...
Ni aheri nipande ninunue iPhone 12 pro , kuliko kuchepukia Hz brand zingine
Umemaliza kabisaa mkuu,redmi atuachie sisi walala hoi😀😀Mkuu umetumia "Xiaomi Redmi" hapa tunashawishi utumie "Xiaomi Mi" sio Redmi. Redmi ni simu za chini kabisa za kampuni ya Xiaomi na zinamake sense kuliko Samsung A series
Lakini Xiaomi Mi ni flagship, ungetumia Xiaomi Mi, nadhani usingekua na mtazamo wa namna hiyo juu ya Xiaomi. Xiaomi 12S Ultra ina 50MP tu na imefunika Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye kamera. Xiaomi Mi 11 Ultra ina 108MP na imepita simu karibia zote za bei hiyo kwa kamera
Nunua Xiaomi Mi kama una hela ya kutosha, sio Redmi
Pamoja mkuu[emoji23][emoji23]Umemaliza kabisaa mkuu,redmi atuachie sisi walala hoi[emoji3][emoji3]
Mwaka wa 3 unatumia simu 1 tu umefunga nayo ndoa!Taja hizo weakness za mi? maana mimi nina mi 9 se namwaka wa tatu sasa naona ubora ule ni ule ule tu
Hapana. Ubora wa picha kwenye simu unategemea zaidi Camera sensor na software. Hizo megapixel ni wingi tu wa pixel na utaziona kwenye zooming (ndio maana iphone 14 ina 12MP lakini inatoa picha nzuri kuliko infinix note 12 yenye 50MP)wingi/ukubwa wa megapixel ndio hudhihirisha quality ya picha?
Itakuwa 😂😂Kwa hyo nikiwa na iphone sipat yaccine tv tena[emoji848][emoji848]
Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?."Shoot raw" i hope umeelewa hili neno, raw simu inakuwa haifanyi processing ya picha, processing unaimalizia kwenye pc.
Hiyo 470K unapata pixel moja matata ila itakua used au refurbished, ila ukienda kwa Xiaomi unapata midrange mpya.Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?.
mchawi betri kivipi?
Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?.
Mkuu unafukua makaburi. Story iko hivi:mchawi betri kivipi?
tupe somo sisi wa infinix hot 500