asahd JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 340 Reaction score 465 Nov 22, 2023 #61 Baba Rhobi said: Hiyo 470K unapata pixel moja matata ila itakua used au refurbished, ila ukienda kwa Xiaomi unapata midrange mpya. Click to expand... midrange ipi nzuri kwa xiaomi napata kwa bei hiyo mkuu?
Baba Rhobi said: Hiyo 470K unapata pixel moja matata ila itakua used au refurbished, ila ukienda kwa Xiaomi unapata midrange mpya. Click to expand... midrange ipi nzuri kwa xiaomi napata kwa bei hiyo mkuu?
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,611 Reaction score 2,881 Nov 22, 2023 #62 kula chuma hicho mkuu, 8GB RAM na 256GB internal storage.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Nov 24, 2023 #63 asahd said: Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?. Click to expand... Chukua
asahd said: Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?. Click to expand... Chukua