Ipi siri ya Kipindi cha SHILAWADU kuanguka?

Ipi siri ya Kipindi cha SHILAWADU kuanguka?

Kila chenye mwanzo huwa na mwisho, jiulize ze comedy, mkasi ya salama, bongo star search vyote viko wapi. Ni suala la muda tu.
Mkasi ilikuwa ni show ya AY na Salama alikuwa kama presenter tu nadhani Ambwene amekuwa na mambo mengi mno pia kuishi kwake nje kumechangia, sasa hivi yuko na Saturday sports.
.
Ze comedy wameiua wenyewe TBC maslahi hakuna.
BSS bado ipo habari zake huzisikii?
 
Imechangiwa na clouds kujitoa kwenye king'amuzi cha statimes maana kule mwanzo kilikiwa free kuona sa hivi hadi ulipie ndo uwaone wakati chanel nyingine ni free kwenye king'amizi hicho hicho
 
Issue sio kuoneshwa issue ni akifanyi vizuri
kwa sasa na akina kabisa attention Kama
mwanzo.
Tatizo mnakremisha tu aliyekuambia nani bila diamond kipindi hakinogi na eti diamond ndio msanii anayefatiliwa sana tz??!me sina tina yoyote sijui nani wala nani ila baadhi watu nyie ni mang'ombe sana mnapenda sana kuwasifia watu bila sababu mkikua mtaacha yaani unakazana kabisa kumsifia mwenzako kisha anakula bata wewekinyago pakula na kulala pangu pakavu mnaboa sana nyie watu
 
Back
Top Bottom