Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Mkasi ilikuwa ni show ya AY na Salama alikuwa kama presenter tu nadhani Ambwene amekuwa na mambo mengi mno pia kuishi kwake nje kumechangia, sasa hivi yuko na Saturday sports.Kila chenye mwanzo huwa na mwisho, jiulize ze comedy, mkasi ya salama, bongo star search vyote viko wapi. Ni suala la muda tu.
.
Ze comedy wameiua wenyewe TBC maslahi hakuna.
BSS bado ipo habari zake huzisikii?