Mkasi ilikuwa ni show ya AY na Salama alikuwa kama presenter tu nadhani Ambwene amekuwa na mambo mengi mno pia kuishi kwake nje kumechangia, sasa hivi yuko na Saturday sports.Kila chenye mwanzo huwa na mwisho, jiulize ze comedy, mkasi ya salama, bongo star search vyote viko wapi. Ni suala la muda tu.
Na ninavyosikia yule Isakwisa (Qhwisa) anapakuliwaNi ka kipindi flani hivi ka kishoga shoga ndio mana wanawake ndio walikua top fans.
"Ruzige"
Kutooneshwa kwa local chanels kumechangia vipindi vingi sana kufa, ata makampuni yamedorora sana kwa kukosa pa kutangazia huduma zao, hii ndio main factor
Clouds wako startimes free,mie nimewaona jana usikuImechangiwa na clouds kujitoa kwenye king'amuzi cha statimes maana kule mwanzo kilikiwa free kuona sa hivi hadi ulipie ndo uwaone wakati chanel nyingine ni free kwenye king'amizi hicho hicho
Tatizo mnakremisha tu aliyekuambia nani bila diamond kipindi hakinogi na eti diamond ndio msanii anayefatiliwa sana tz??!me sina tina yoyote sijui nani wala nani ila baadhi watu nyie ni mang'ombe sana mnapenda sana kuwasifia watu bila sababu mkikua mtaacha yaani unakazana kabisa kumsifia mwenzako kisha anakula bata wewekinyago pakula na kulala pangu pakavu mnaboa sana nyie watuIssue sio kuoneshwa issue ni akifanyi vizuri
kwa sasa na akina kabisa attention Kama
mwanzo.
Issue sio kuoneshwa issue ni akifanyi vizuri kwa sasa na akina kabisa attention Kama mwanzo.