Ipi tiba/dawa ya maumivu ya goroli ?

Ipi tiba/dawa ya maumivu ya goroli ?

Jabakeke

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
386
Reaction score
361
Yanapotokea maumivu ya goroli za kiume pamoja na shaft baada ya kusex na mwanamke ambaye yupo kwenye bleed ya kutoa mimba,dawa zipi zinafaa kwa matibabu ya haraka,mgonjwa katumia doxy anapata nafuu tu lakini haponi
 
Ulisex bila condoms?? Dem anavuja damu unapataje ujasiri wa kuchomeka kiungo chako?
 
Iyo bleed ya kutoa mimba ukiwa na maana ya mimba hii ?
 
Mkuu we utakua na ngiri. Umemnchokonoa mnyama huko keshafika unatafuta namna ya kumrudisha.
 
Iyo bleed ya kutoa mimba ukiwa na maana ya mimba hii ?
Hiyo hiyo
 
Labda uwe umepata maambukizi fulani,sidhani kama kuna uhusiano wa bleeding uke na maumivu yako. Mwanamke anaebleed anafanywa, shida tu ni hali hiyo wengi ni ngumu kuikabili ,lakini pia ni hatarishi kiafya maana eneo hilo linakuwa halina kinga ya kutosha kipindi hicho.

Hiyo bleeding ya mimba siijui,lakin sitaki kuamini kuwa inakudhuru mwanaume. Muone Dkt tafadhali.
 
Back
Top Bottom