Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisex bila condoms?? Dem anavuja damu unapataje ujasiri wa kuchomeka kiungo chako?Yanapotokea maumivu ya goroli za kiume pamoja na shaft baada ya kusex na mwanamke ambaye yupo kwenye bleed ya kutoa mimba,dawa zipi zinafaa kwa matibabu ya haraka,mgonjwa katumia doxy anapata nafuu tu lakini haponi
Hahahaaa.. Hili jibu limenichekesha sana. DaahSikujua
Hiyo hiyoIyo bleed ya kutoa mimba ukiwa na maana ya mimba hii ?
Hii mimba vipi?
Ni mimba changa sana ina mwezi mmoja na siku kadhaa tu,na si mimba yangu ya kwanza,napata maumivu makali sana chini ya kitovu nikipumzika leo kesho mtindo mmoja,na kizazi kimeshuka kwa kiasi fulani mara nyingi kinaguswa tunapokuwa tunalea kiumbe,nimejaribu kuongea na watu wawili watatu kila mtu...www.jamiiforums.com
Pole sanaHiyo hiyo
Unapiga sana nyeto mzee.Unasababishwa na nini huu ugonjwa?
Hakuna mwanaume ambaye hajawahi mkuu. Hakuna mtoto hapaSijawahi