Ipi tofauti kati ya shirika na kampuni?

Ipi tofauti kati ya shirika na kampuni?

Kwa tanzania
Shirika ni lile liloundwa kwa sheria iliyotungwa na bunge maalum kulianzisha. Wakati wa utaifishaji miaka kuanzia 1971 kila shirika la umma lilipokuwa linaanzishwa ilikuwa inapelekwa sheria bungeni ya kuanzisha shirika.
Kampuni ni ile inayoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya makampuni na lazima kampuni isajiliwe BRELA. Na jina la kampuni lazima liishie na neno LIMITED.
Baada ya kuingia ubiafsishaji mashirika yaliyoingia ubia, sheria zake zilifutwa na yakasajiliwa BRELA kama makampuni ili kukidhi vigezo vya shareholding.
 
Shirika lenyewe linafanya kazi ya kutoa huduma kwa jamii sana sana huduma za jamii lakin kampun linakuwa linatoa huduma pia lina uwezo wa kutengeneza bidhaa
 
Kwa tanzania
Shirika ni lile liloundwa kwa sheria iliyotungwa na bunge maalum kulianzisha. Wakati wa utaifishaji miaka kuanzia 1971 kila shirika la umma lilipokuwa linaanzishwa ilikuwa inapelekwa sheria bungeni ya kuanzisha shirika.
Kampuni ni ile inayoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya makampuni na lazima kampuni isajiliwe BRELA. Na jina la kampuni lazima liishie na neno LIMITED.
Baada ya kuingia ubiafsishaji mashirika yaliyoingia ubia, sheria zake zilifutwa na yakasajiliwa BRELA kama makampuni ili kukidhi vigezo vya shareholding.
How about enterprises
 
Je, unafaham nini unapoambiwa kuna limited na unlimited company
 
00,000 results (0.61 seconds)

Search Results

An unlimited company or private unlimited company is a hybrid company (corporation) incorporated with or without a share capital (and similar to its limited company counterpart) but where the legal liability of the members or shareholders is not limited: that is, its members or shareholders have a joint, several and ...
 
faizafoxy umepepesja macho shirika ni corparation mfano NMC,kampuni ndio Company
 
Shirika ni muungano wa watu,au jamii flani wenye malengo ya kuendesha biashara au huduma flani katika jamii.Hii ikiwa imefuata taratibu zote za kisheria.Kampuni ni muungano wawatu kuazia wawili au zaidi,Kwamjibu wa sheria,ambayo itakuwepu kwa malengo ya kibiashara au kutoa huduma flani.
Mkuu kwa fikra zako unadhani Watu hawawezi kuungana wakaunda kampuni
 
Back
Top Bottom