Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,081
- 2,325
Kwa tanzania
Shirika ni lile liloundwa kwa sheria iliyotungwa na bunge maalum kulianzisha. Wakati wa utaifishaji miaka kuanzia 1971 kila shirika la umma lilipokuwa linaanzishwa ilikuwa inapelekwa sheria bungeni ya kuanzisha shirika.
Kampuni ni ile inayoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya makampuni na lazima kampuni isajiliwe BRELA. Na jina la kampuni lazima liishie na neno LIMITED.
Baada ya kuingia ubiafsishaji mashirika yaliyoingia ubia, sheria zake zilifutwa na yakasajiliwa BRELA kama makampuni ili kukidhi vigezo vya shareholding.