How about enterprisesKwa tanzania
Shirika ni lile liloundwa kwa sheria iliyotungwa na bunge maalum kulianzisha. Wakati wa utaifishaji miaka kuanzia 1971 kila shirika la umma lilipokuwa linaanzishwa ilikuwa inapelekwa sheria bungeni ya kuanzisha shirika.
Kampuni ni ile inayoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya makampuni na lazima kampuni isajiliwe BRELA. Na jina la kampuni lazima liishie na neno LIMITED.
Baada ya kuingia ubiafsishaji mashirika yaliyoingia ubia, sheria zake zilifutwa na yakasajiliwa BRELA kama makampuni ili kukidhi vigezo vya shareholding.
Je, unafaham nini unapoambiwa kuna limited na unlimited companyKwa tanzania
Shirika ni lile liloundwa kwa sheria iliyotungwa na bunge maalum kulianzisha. Wakati wa utaifishaji miaka kuanzia 1971 kila shirika la umma lilipokuwa linaanzishwa ilikuwa inapelekwa sheria bungeni ya kuanzisha shirika.
Kampuni ni ile inayoanzishwa kwa mujibu wa sheria ya makampuni na lazima kampuni isajiliwe BRELA. Na jina la kampuni lazima liishie na neno LIMITED.
Baada ya kuingia ubiafsishaji mashirika yaliyoingia ubia, sheria zake zilifutwa na yakasajiliwa BRELA kama makampuni ili kukidhi vigezo vya shareholding.
Read the dictionaryHow about enterprises
DaaaaDah... [emoji15]
Mkuu kwa fikra zako unadhani Watu hawawezi kuungana wakaunda kampuniShirika ni muungano wa watu,au jamii flani wenye malengo ya kuendesha biashara au huduma flani katika jamii.Hii ikiwa imefuata taratibu zote za kisheria.Kampuni ni muungano wawatu kuazia wawili au zaidi,Kwamjibu wa sheria,ambayo itakuwepu kwa malengo ya kibiashara au kutoa huduma flani.