Ipi tofauti ya kozi hizi??

Ipi tofauti ya kozi hizi??

implicit memory

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2024
Posts
806
Reaction score
926
Habarini wana jf,hamjambo?
Kama kilivyo kichwa cha habari,naamini humu kuna wajuzi wengi wa elimu mbalimbali,ni kwamba jambo hili limekuwa likinikereketa kwa mda mrefu sasa,ni hivi huwa najiuliza (uenda kulingana na uelewa wangu),hizi kozi au fani mfano uhasibu,finance,uchumi,hivi zinatofautianaje?, pili kwanini zimetenganishwa?,the same na upande wa fani za sayansi computer sayansi, computer engineering,ITs, Cyber security nk nk,na je kwa kila moja inakazi zipi ndani yake?na ngapi?,lengo pia nikutaka wanetu wajue,asanteni,nawasilisha.
 
Jamani mbona mmekua kimya,nashukuru nimeona thread ya bwana sky soldier,upande wa sayansi,amechambua vizuri fani za computers,
Lkn nilitamani nipate na upande mwingine wa fani za uhasibu,finance,banking,uchumi nk nk,kama thread ilivyojieleza hapo juu,tafadhali mwenye kujua anisaidie hapo pia,natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom