GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Habari WanaJF.
Nahitaji kwenda kusoma master kati ya econimics au statistics, nimeangalia prospector za vyuo mbalimbali nikakutana vyuo kama UDSM wanatoa MASTERS OF APPLIED ECONOMICS NA MASTER OF ECONOMICS.
Vilevile nimeangalia Mzumbe University wanatoa MASTERS IN APPLIED STATISTICS wakati vyuo kama UDSM na UDOM wanatoa MASTERS IN STATISTICS na kile chuo cha Changanyikeni(EASCT) pia wanatoa MASTERS OF OFFICIAL STATISTICS.
Sasa swali langu kuna tofauti gani ile yenye applied na isiyokuwa applied?