GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
jamani hamuoni au?Habari WanaJF.
Nahitaji kwenda kusoma master kati ya econimics au statistics, nimeangalia prospector za vyuo mbalimbali nikakutana vyuo kama UDSM wanatoa MASTERS OF APPLIED ECONOMICS NA MASTER OF ECONOMICS.
Vilevile nimeangalia Mzumbe University wanatoa MASTERS IN APPLIED STATISTICS wakati vyuo kama UDSM na UDOM wanatoa MASTERS IN STATISTICS na kile chuo cha Changanyikeni(EASCT) pia wanatoa MASTERS OF OFFICIAL STATISTICS.
Sasa swali langu kuna tofauti gani ile yenye applied na isiyokuwa applied?
Hiyo Master in Statistics or Master of Statistics unasoma pure statistics.Habari WanaJF.
Nahitaji kwenda kusoma master kati ya econimics au statistics, nimeangalia prospector za vyuo mbalimbali nikakutana vyuo kama UDSM wanatoa MASTERS OF APPLIED ECONOMICS NA MASTER OF ECONOMICS.
Vilevile nimeangalia Mzumbe University wanatoa MASTERS IN APPLIED STATISTICS wakati vyuo kama UDSM na UDOM wanatoa MASTERS IN STATISTICS na kile chuo cha Changanyikeni(EASCT) pia wanatoa MASTERS OF OFFICIAL STATISTICS.
Sasa swali langu kuna tofauti gani ile yenye applied na isiyokuwa applied?
Uko sahihi sana.Hiyo Master in Statics or Master of Statistics unasoma pure statistics.
kwa hiyo unakuwa umebobea kwenye statistics.
Applied unasoma zaidi matumizi ya statistics, mfano kuandaa policy
intervention mbalimbali za takwimu nakadhalika.
Subiri walio bobea kwenye Statistics na Economics watakupa details
zaidi mimi nimetumia general knowledge ninavyo elewa mfano
Master of Science........ and Master of applied Sciences.........
Official statistics ni Competence Based Statistics. Inamuandaa mhitimu kufanya kazi za kitakwimu katika ofisi za takwimu. Hutu ni mbobezi. Applied statistics ni kupitia Knowledge Based Statistics maana yake yupo too theoretical.Habari WanaJF.
Nahitaji kwenda kusoma master kati ya econimics au statistics, nimeangalia prospector za vyuo mbalimbali nikakutana vyuo kama UDSM wanatoa MASTERS OF APPLIED ECONOMICS NA MASTER OF ECONOMICS.
Vilevile nimeangalia Mzumbe University wanatoa MASTERS IN APPLIED STATISTICS wakati vyuo kama UDSM na UDOM wanatoa MASTERS IN STATISTICS na kile chuo cha Changanyikeni(EASCT) pia wanatoa MASTERS OF OFFICIAL STATISTICS.
Sasa swali langu kuna tofauti gani ile yenye applied na isiyokuwa applied?
Upo sahihiHiyo Master in Statistics or Master of Statistics unasoma pure statistics.
Kwa hiyo unakuwa umebobea kwenye statistics.
Applied unasoma zaidi matumizi ya statistics, mfano kuandaa policy
intervention mbalimbali za takwimu nakadhalika.
Subiri walio bobea kwenye Statistics na Economics watakupa details
zaidi mimi nimetumia general knowledge ninavyo elewa mfano
Master of Science........ and Master of applied Science..........
Ngumu sana kwa nchi kubadilika kama hizi ndio mindset za watumishi wa ummaHuku serikalini we TAFUTA TU CHETI..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kasome tangazo lolote la ajira, litakwambia "Muombaji awe na cheti cha ........""Ngumu sana kwa nchi kubadilika kama hizi ndio mindset za watumishi wa umma
Ni kweli eti bora tuu cheti matokeo yataonekana kama mtu hana ubobeziNgumu sana kwa nchi kubadilika kama hizi ndio mindset za watumishi wa umma
Nimesoma sana matangazo ya ajira…. Requirement ya cheti inachukua maximum one line…. Lakini ile ya weledi, kujitumq, wasifu nk vinabeba most of the tangazoKasome tangazo lolote la ajira, litakwambia "Muombaji awe na cheti cha ........""
Cheti
Cheti
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unaruhusiwa.Tuliokimbia umande tunaruhusiwa kucomment?
Sawa, kwenye application za kazi Kwa mfano ukiingia ajira portal zipo kwenye category Moja, ukiangalia wanaoajiriwa vyuoni kufundisha hizo kozi wote wanaingia na kuwa wahadhiri, huku makazini wote wapo na kazi wanazofanya zinafanana. Sasa kwanini wafanane Kila kitu halafu kozi ziwe mbili tofauti . ? Kama mmoja ni applied basi angekuwa anaingia kwenye application peke yake, lakini ukichunguza makazini wote wapo sehemu zinazofanana. Hapo ndio sielewi.Hiyo Master in Statistics or Master of Statistics unasoma pure statistics.
Kwa hiyo unakuwa umebobea kwenye statistics.
Applied unasoma zaidi matumizi ya statistics, mfano kuandaa policy
intervention mbalimbali za takwimu nakadhalika.
Subiri walio bobea kwenye Statistics na Economics watakupa details
zaidi mimi nimetumia general knowledge ninavyo elewa mfano
Master of Science........ and Master of applied Science..........
In nutshellHabari WanaJF.