Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

Samaki
Kuku
Kitimore
Ng'ombe
Mbuzi
Zote ziwe choma/foil.
 
1. Ndege (kanga, kuku, n.k.)

2. Samaki

3. Kitoweo maalum ambacho sitaki kukitaja.
 
Harufu ya mbuzi unaijua ?
 
Kuku
Samaki
 
1. Samaki(kuna aina na aina)
2. Ndege(kuku, bata, bata mzinga) 😋
3. Ng'ombe nyama choma lainii
 
Nguruwe pori(Ngiri)

Kuku rosti

Mbuzi choma

Bonus.... Samaki foil
 
Nyerere alisema ukila nyama ya mtu huwezi kuwacha.
 
My all-time priority;
1. Kitimoto
2. Kuku
3. Ng'ombe/Mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…