Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!1. Kitimoto foil
2. Kitimoto roast
3. Kitimoto dry
1. Ndege (kanga, kuku, n.k.)Salam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
Kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
Hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
Harufu ya mbuzi unaijua ?Salam!

KukuSalam!

Samaki ni nyama?Samaki
Kuku
Mbuzi
Wote wa kubanika.
Hapana ni nafaka. Samahani mkuu.Samaki ni nyama?
Nyerere alisema ukila nyama ya mtu huwezi kuwacha.Salam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
Kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
Hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
Samaki ni nyama?
Kiti moto hakina mpinzani.Kitimoto isingekuwa mambo ya dini,nadhani ingekuwa namba 1 kwa kila mtu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] daaah! Mkuu umeuwa. Au ndio nyama huli ila mchuzi wake fresh tu!Mie ni mwalimu wa madrassa lkn Kitimoto nainyooshea mikono
My all-time priority;Salam!
Wale wazee wa misosi ipi top 3 yako ya nyama tamu. Ya kwangu hii hapa:
1. Kuku
Asee huyu ndege hadi leo binafsi naona nyama yake haina mpinzani yani hana mbadala yani nyama iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote nadhani sote tunafahamu jinsi supu ya kuku ilivyo tamu
2. Ng'ombe
Akitoka kuku anafata ng'ombe huyu myama nae yupo vizuri lakini huyu utamu wa nyama yake una depend na maufundi ya mpishi. laini na yeye nyama yake iwe mchemsho rosti choma au ya kukaanga nitamu zote
3 Kitimoto
Kwangu huyu namba yake inashika namba 3 kwasababu tu nyama yake inanoga tu kwa rosti na kukaanga lakini mchemsho wake hahaha hapana asee
Hiyo ndo top 3 yangu ya nyama tamu Je, ya kwako ni ipi?
NB: Kuku anautamu wa asili tu yeye haitaji ata ufundi wa mpishi.
DuuhNyama ya mtu