Mustapha Ryder Member Joined Dec 19, 2013 Posts 76 Reaction score 12 May 23, 2014 #1 Katika kuelekea application za vyuo mwaka huu unadhani ni ipi top 5 yako ya vyuo unavyovikubali Tz? Karibu
Katika kuelekea application za vyuo mwaka huu unadhani ni ipi top 5 yako ya vyuo unavyovikubali Tz? Karibu
Danny Massawe JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,297 Reaction score 758 May 23, 2014 #2 1.havard 2.oxford 3.hull 4.sua 5.birmingham
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,028 May 23, 2014 #3 Muulize Mpigamsuli ana habari zote Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
NGABHAGHILA Senior Member Joined Feb 26, 2014 Posts 140 Reaction score 31 May 23, 2014 #4 1. Mzumbe 2. SUA 3. Udsm 4. SAUT 5. iliyokuwa Mbeya Tech
Jonatus JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,403 Reaction score 379 May 23, 2014 #5 1 . Udom 2: Saut 3: Mzumbe
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,625 May 23, 2014 #6 Danny Massawe said: 1.havard 2.oxford 3.hull 4.sua 5.birmingham Click to expand... Kwa hiyo umejiona umejibu, watu wengine mnatafuta usifa kwa kuandika kitu cha kipumba. Bora ungenyamaza kama haujui na sio kujifanya unajua yasiyoulizwa.
Danny Massawe said: 1.havard 2.oxford 3.hull 4.sua 5.birmingham Click to expand... Kwa hiyo umejiona umejibu, watu wengine mnatafuta usifa kwa kuandika kitu cha kipumba. Bora ungenyamaza kama haujui na sio kujifanya unajua yasiyoulizwa.
Mustapha Ryder Member Joined Dec 19, 2013 Posts 76 Reaction score 12 May 23, 2014 Thread starter #7 NGABHAGHILA said: 1. Mzumbe 2. SUA 3. Udsm 4. SAUT 5. iliyokuwa Mbeya Tech Click to expand... hapo 2po p1
NGABHAGHILA said: 1. Mzumbe 2. SUA 3. Udsm 4. SAUT 5. iliyokuwa Mbeya Tech Click to expand... hapo 2po p1
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 May 23, 2014 #8 1Veta 2.eagle wings 3.ccp malizia na wewe
Chum Kane JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 1,143 Reaction score 948 May 24, 2014 #9 1.dit 2.dit 3.dit 4.dit 5.dit
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 May 24, 2014 #10 1.ardhi 2.muhas 3.udsm 4.sua 5.d.i.t ..........mzumbe & udom also. just my view's
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 May 24, 2014 #12 Mustapha Ryder said: Katika kuelekea application za vyuo mwaka huu unadhani ni ipi top 5 yako ya vyuo unavyovikubali Tz? Karibu Click to expand... Mpigamsuli ndo anatakwimu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mustapha Ryder said: Katika kuelekea application za vyuo mwaka huu unadhani ni ipi top 5 yako ya vyuo unavyovikubali Tz? Karibu Click to expand... Mpigamsuli ndo anatakwimu
kastizo zoo Member Joined Sep 12, 2012 Posts 51 Reaction score 2 May 24, 2014 #14 1. SUA 2.Ardhi 3.UDSM 4.UDOM 5.SAUT
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 May 24, 2014 #15 1.ustawi 2.dit 3.ruco 4.tumaini 5.teophil kisyanju
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 28,259 Reaction score 41,416 May 24, 2014 #16 Remote said: Mpigamsuli ndo anatakwimu Click to expand... Ha ha ha ha mpe break mkuu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
D Dan Edwin Member Joined Apr 17, 2014 Posts 30 Reaction score 2 May 24, 2014 #17 Veta., data star., udom
NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,273 May 24, 2014 #18 wataongea mengi ila namba moja itabaki kua UDSM, vingine sivifahamu... labda kwa madaktari Kariuki, Bugando, KCMC
wataongea mengi ila namba moja itabaki kua UDSM, vingine sivifahamu... labda kwa madaktari Kariuki, Bugando, KCMC
pitbull JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 596 Reaction score 184 May 24, 2014 #19 Jonatus said: 1 . Udom 2: Saut 3: Mzumbe Click to expand... Dah mkubwa uwe na aibu basi unavyopost vitu UDOM.??????
Jonatus said: 1 . Udom 2: Saut 3: Mzumbe Click to expand... Dah mkubwa uwe na aibu basi unavyopost vitu UDOM.??????
Jonatus JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,403 Reaction score 379 May 24, 2014 #20 That's my best kwa msimamo wangu huwezi nibadilisha