Ipi top 5 yako ya vyuo vikuu bora unavyovikubali Tanzania?

Ipi top 5 yako ya vyuo vikuu bora unavyovikubali Tanzania?

Joined
Dec 19, 2013
Posts
76
Reaction score
12
Katika kuelekea application za vyuo mwaka huu unadhani ni ipi top 5 yako ya vyuo unavyovikubali Tz? Karibu
 
Muulize Mpigamsuli ana habari zote
 
Last edited by a moderator:
1.havard 2.oxford 3.hull 4.sua 5.birmingham

Kwa hiyo umejiona umejibu, watu wengine mnatafuta usifa kwa kuandika kitu cha kipumba. Bora ungenyamaza kama haujui na sio kujifanya unajua yasiyoulizwa.
 
1.ardhi
2.muhas
3.udsm
4.sua
5.d.i.t

..........mzumbe & udom also.


just my view's
 
1.ustawi
2.dit
3.ruco
4.tumaini
5.teophil kisyanju
 
wataongea mengi ila namba moja itabaki kua UDSM,
vingine sivifahamu... labda kwa madaktari Kariuki, Bugando, KCMC
 
That's my best kwa msimamo wangu huwezi nibadilisha
 
Back
Top Bottom