Ipi umeipenda kati ya hizi

Ipi umeipenda kati ya hizi

socket

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
305
Reaction score
433
👉ukisikia mpenz wako anakuita baby ujue kuna mkubwa wako"!!!

👉Sio kila anayekwambia I love anakupenda wengine wanajifunza kingereza.

👉Mke Mwema Anatoka Kwa MUNGU,mume Bora CRDB,NMB,DCRB N.K

👉uktaka kujua short kati kula nauli

👉-"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"-

👉hata uoge na mche mzma wa sabuni huendi na mm mjini

👉Kuchanika kwa jamvi sio mwisho WA maongezi

👉KAMA UNIFORM NDIO ZINAKUZINGUA MSHONEE MKEO

👉KAUSHA TUMEVURUGWA

👉ukiwa mmbea uwe na kumbukumbu,

👉Dawa ya mcharuko tiamimba

👉Ukitaka kumjua mume mwenzio we Mwache mkeo!!!,

👉Hata uwe mzuri vipi utakwepa yangu utakutana na ya mwingine kama yangu tena.

👉bao la mkono n punyeto pekeeeeee

👉KILA KUBWA INA KUBWA YAKE,..

👉UKIWAFIKIRIA SAANA HUWEZI KUWAOA WE NIULIZE MIMI!!!'

👉Pesa huna, nguvu huna, hata mkwala huwezi?"

👉Chumba cha kupanga mbwa wa nini?

👉Hakuna Tasa wala mgumba Taiming yako mbovu

👉ukitaka kujua mapenzi ya mkeo filisika"

👉kama ndoto hazijatimia kalale tena

👉Ukiona unanyota yakupendwa na wanafunzi wakike ujue jela linakuita'

👉Dereva angusha gari tuonekane kwenye t
 
Mke mwema anatoka kwa mungu ila mume bora anatoka nmb, crdb nk
 
Back
Top Bottom