Ipigwe kura kupitia mfumo wa PEPMIS, watumishi wenyewe waseme kama wameuridhia mfumo wa kikokotoo

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Watumishi hawana haja ya elimu kuelimishwa kuhusu kikokotoo.

Kila mmoja sasa anajua faida au hasara ya hichi kikokotoo kipya kwa kulinganisha wastaafu wa miaka 4 iliyopita.
Serikali kila siku wanakipamba hichi kikokotoo, watumishi hawana pa kusemea.

Ipigwe kura sasa ya kukubali au kukataa hicho kikokotoo kupitia mfumo huu mpya wa watumishi wa PEPMIS.

Hapo zihesabiwe % tufunge mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…