MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kigamboni wachumba hao, utaponza wenzio tuwapige busu.Watu wa kigamboni ( Vincenzo Jr ) Vs Watu wa Vingunguti ( Vishu Mtata )
Ahahahah we jamaa upo wapi skuiziKigamboni wachumba hao, utaponza wenzio tuwapige busu.
Nipo mburahati, vingunguti nimetoka, wamekua shororo sana nowadays πAhahahah we jamaa upo wapi skuizi
Mashangazi vs vitoro vya elf2Mashangazi Vs Wives and Sidechicks
wako wapi hao watu? Hiyo ni dhana tu, hakuna watu wa aina hiyoWaloloke ni jamii ya watu wa hovyo walipaswa wawe mirembe ,acha kabisa kuwaweka na wanywa pombe
.................... uliiona mechi hii kati ya wakatoliki na KKKT?Tunahitaji kuona makundi ya kijamii yenye mitazamo tofauti yakionyesha mshikamano na undugu pia. Tunahitaji mechi zifuatazo;
1. Wasabato vs Wakatoliki
2. CCM vs CHADEMA
3. Maustaadh vs Wamiliki wa mabucha ya kitimoto
4. Wives vs Sidechicks
5. Sukuma Gang vs Msoga gang
6. Walokole vs Wanywa pombe
Je, ungependa makundi gani mengine wapige mechi ya mshikamano?
Hao waliovaa jersey nyeupe weupe sana..................... uliiona mechi hii kati ya wakatoliki na KKKT?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HqJZ_SlZ1JE
Jezi nyeupe ni wachungaji wa KKKT na hizo jezi za cyan (light blue) ni Mapadri wa Katoliki!Hao waliovaa jersey nyeupe weupe sana.
Game iliwaelemea sijui ndiyo nani hao kkkt au katolk
Ila wewe.Tunahitaji kuona makundi ya kijamii yenye mitazamo tofauti yakionyesha mshikamano na undugu pia. Tunahitaji mechi zifuatazo;
1. Wasabato vs Wakatoliki
2. CCM vs CHADEMA
3. Maustaadh vs Wamiliki wa mabucha ya kitimoto
4. Wives vs Sidechicks
5. Sukuma Gang vs Msoga gang
6. Walokole vs Wanywa pombe
Je, ungependa makundi gani mengine wapige mechi ya mshikamano?
Aisee umenikumbusha rafikyangu kaokoka uwii yani kila nikiongea jambo utasikia wokovu mara yesu jamn had tukablokiana πππWaloloke ni jamii ya watu wa hovyo walipaswa wawe mirembe ,acha kabisa kuwaweka na wanywa pombe