min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Tandika Kofi , hao wehu hakuna haja ya kuwabembelezaAisee umenikumbusha rafikyangu kaokoka uwii yani kila nikiongea jambo utasikia wokovu mara yesu jamn had tukablokiana 😂😂😂
Tandika Kofi , hao wehu hakuna haja ya kuwabembelezaAisee umenikumbusha rafikyangu kaokoka uwii yani kila nikiongea jambo utasikia wokovu mara yesu jamn had tukablokiana 😂😂😂
Aisee wanakera huwaona wenzao ni watu wa motoniTandika Kofi , hao wehu hakuna haja ya kuwabembeleza
Walokole ni kansa kwenye ukristo, wao ndio wamefanya ukristo unaonekana taka taka kabisaAisee wanakera huwaona wenzao ni watu wa motoni
Jamaa una id ya ajabu sanaMashangazi vs vitoro vya elf2