umenikumbusha mbali sana, shuleni (msingi) tulikuwa tunacheza/chezeshwa mpira Christians vs muslims, imagine watoto wa shule msingi mko innocent na hamjui chochote khs dini mnachezeshwa mechi ya kidini halafu anayeshinda/ndwa inahusishwa moja kwa moja na dini yake, hii nchi ni ******* sana aisee, kuzaliwa kwenye jamii yoyote yenye >5% muslim population siyo kabisa, muslims wakiwa < 5% its tolelable lkn zaidi ya hapo ni laana kama wewe siyo muslim ...