Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Wale walioleta kura feki na kupelekea jiwe kuwa Rais feki wanakaa kundi gani mkuu?Majambazi na drug dealer do wanafanyiwa hvo , kama na we ni jambaz au ndugu yako ni jambazi hasa wa kutumia silaha mjiandae ...Kwa hili Mimi nawaunga mkono polisi
Kuna watu wanauwawa hata sio majambazi. Ipo siku ndugu yako yatamkuta alafu ndio utakuja kujifunza kuwa hawa jamaa wanaonea watu sana.Majambazi na drug dealer do wanafanyiwa hvo , kama na we ni jambaz au ndugu yako ni jambazi hasa wa kutumia silaha mjiandae ...Kwa hili Mimi nawaunga mkono polisi
Nenda Mahakamani kathibitishe acha porojoWale walioleta kura feki na kupelekea jiwe kuwa Rais feki wanakaa kundi gani mkuu?
Mahakama hizi hizi au za FIFA?nenda mahakamani kathibitishe acha porojo
Hata wao wanatafunwa sn na guvu za giza labda hufuatilii vyombo vya habariWatanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa.
Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa.
Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana mahakamani haki haipatikani,wao polisi wanalindana. Kwa hiyo natoa ombi kwa wazee wa mikoa hii mtusaidie maana tumechoka.
Sijakuelewa mkuu.Hata wao wanatafunwa sn na guvu za giza labda hufuatilii vyombo vya habari
Alishiriki uharamia huko Zanzibar?Muulize KIDAVASHARI, kifua kilbana saa 3 usiku, saa 7 usiku kikamnyiga mazima. Next ni CP.........
Husikii wanaodondoka mmoja mmoja?Sijakuelewa mkuu.
Uonevu haupo Zanzibar tu. Fuatilia mambo utakuja kusikitika sana.Alishiriki uharamia huko Zanzibar?
Mimi naomba wazee wa Rukwa, Kigoma, Katavi, Lushoto na Kigoma wafumue kituo kimoja wadondoke kama 30 iwe mfano.Husikii wanaodondoka mmoja mmoja?
Mchwa hutafuna taratibuMimi naomba wazee wa Rukwa, Kigoma, Katavi, Lushoto na Kigoma wafumue kituo kimoja wadondoke kama 30 iwe mfano.
Mmewatukana Mahakama weee hadi wao na Familia zao wakawanyima kura,mkatukana vyombo vya Dola weee hadi wao na familia zao wakawanyima kura ,mkatukana serikali weee hadi Wafanyakazi wa Serikali na Familia zao wakawanyima kura,mkatukana tume na wafanyakazi wake weeee hadi wao na Familia zao wakawanyima kura halafu baadaye mnakuja kubweka ohhh CCM hawakushinda kihalali!!!Mahakama hizi hizi au za FIFA?
Huko kote wazee ndio waliwadondosha nyie Upinzani sanduku la kura baada ya kuona mnakumbatia Uzungu AMSTERDAM zaidi kuliko uswahili kila saaa ohh Wazungu watatusaidia wakaona watumie teknolojia kuwabwaga chini sanduku la kura ili muendelee na uchawi wenu wa kizungu mnaoutegemeaMimi naomba wazee wa Rukwa, Kigoma, Katavi, Lushoto na Kigoma wafumue kituo kimoja wadondoke kama 30 iwe mfano.
Hakukuwa na Uchaguzi pale, ni uchafuzi tumumewatukana mahakama weee hadi wao na familia zao wakawanyima kura,mkatukana vyombo vya dola weee hadi wao na familia zao wakawanyima kura ,mkatukana serikali weee hadi wafanyakazi wa serikali na familia zao wakawanyima kura,mkatukana tume na wafanyakazi wake weeee hadi wao na fam,ilia zao wakawanyima kura halafu baadaye mnakuja kubweka ohhh CCM hawakushinda kihalali!!!
Hivi kwa nini Watanzania tunawaza upotofu Nchi yetu ina Rais msikivu kwa nini mnalalamika pembeni afu kama kweli unaonewa nenda na ushahidi wako kaseme kwa wenye dhamani tusiwe wanafiki wakulalamika tubadilike sasa ni wakati wa kaziWatanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa.
Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa.
Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana mahakamani haki haipatikani,wao polisi wanalindana. Kwa hiyo natoa ombi kwa wazee wa mikoa hii mtusaidie maana tumechoka.