YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ukishindwa wewe ni uchafuzi ha ha haHakukuwa na uchaguzi pale, ni uchafuzi tu
Toka vyama vingi vianze ni lini mliwahi sema Uchaguzi ulikuwa mzuri? mkishinda nongwa mkishindwa nongwa.
Afadhali safari hii mmepigwa chini safi sana mijitu gani isiyo na shukrani nyie looo
Mpate Wabunge wengi kelele mkose kelele hamna shukrani hata kwa Mungu mkipata
Na sasa ndio imetoka hiyo Mungu alikuwa akiwalia timing tu sababu mkipata mnatukana tu hamshukuru Mungu wala tume ya Uchaguzi .Mijitu isiyo na shukrani kama nyie hata Mungu hawahitaji kabisa.