Ipo haja kubwa kubambana na uonevu wa vyombo vya dola kwa njia mbadala

Hakukuwa na uchaguzi pale, ni uchafuzi tu
Ukishindwa wewe ni uchafuzi ha ha ha
Toka vyama vingi vianze ni lini mliwahi sema Uchaguzi ulikuwa mzuri? mkishinda nongwa mkishindwa nongwa.

Afadhali safari hii mmepigwa chini safi sana mijitu gani isiyo na shukrani nyie looo

Mpate Wabunge wengi kelele mkose kelele hamna shukrani hata kwa Mungu mkipata

Na sasa ndio imetoka hiyo Mungu alikuwa akiwalia timing tu sababu mkipata mnatukana tu hamshukuru Mungu wala tume ya Uchaguzi .Mijitu isiyo na shukrani kama nyie hata Mungu hawahitaji kabisa.
 

Nguvu yako ya buku 7 > buku ya Biko.

Umethibitisha hilo kwa vitendo. Hupumziki kutetea hata ambavyo unaowatetea wanakushangaa!
 
Hivi kwa nini Watanzania tunawaza upotofu Nchi yetu ina Rais msikivu kwa nini mnalalamika pembeni afu kama kweli unaonewa nenda na ushahidi wako kaseme kwa wenye dhamani tusiwe wanafiki wakulalamika tubadilike sasa ni wakati wa kazi
Eeeenh, umelewa kwelikweli madaraka uliyokabidhiwa bila ya kuwa na vigezo vyake!

Sikiliza, huyo unayemsema ni 'msikivu' amekusikia wewe anayekuita 'mnyonge' na wewe ukakubali hali hiyo. Sasa umelewa kiasi kwamba unataka na wengine wote wajishushe utu wao kwa kusudi la kukidhi cheo hicho cha 'unyonge'?

Baadhi ya hawa watu utu, uhuru na haki kwao ni kila kitu. Kwa hiyo wewe usiyethamini hayo usitake kuona wengine nao wakijidhalilisha kama wewe.
 
Mbona unaandika kama umekatwa kichwa? Nmeuliza swali hujajibu unahatisha vitu ambavyo haviusiki.
Bangi za CCM bana
 
Kwa hiyo wewe kwa akili zako unaamini Hussein Mwinyi kapata 76% na Maalim Seif kapata 19%?
Wewe na akili zako kabisa kabisa unakubali hilo?
 
Hoja hapa ni uonevu unaofanywa na vyombo vya dola,jikite kwenye mada boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…