Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Nchi yetu imetegemea umeme wa maji kwa muda mrefu sasa licha ya ukweli kuwa zipo njia mandala nyingi na mazingira yanayoruhusu kupatikana kwa nishati mbadala. Ni kama tumejiaminisha kuwa umeme ni mpaka utokane na maji “Hydro-electric power” tu.
Tafiti zinaonesha yapo maeneo yanayoweza kutumika kuzalisha umeme kwa kutumia nia, upepo, gesi na uranium na tunachokikosa nyuma ya mtaji ni uthubutu unaoambatana na nia thabiti ya uwekezaji.
Mabadiliko tabia nchi yanaweza kukabiliwa na njia mbadala na rafiki kwa mazingira na siyo tu kuongeza uzalishaji wa umeme kwa kujenga mabwawa makubwa. Kuongeza uzalishaji wa umeme wa maji kwa kujenga mabwawa makubwa bila kuongeza njia mbadala ni jambo ambalo linaweza kuongeza gharama kubwa za uendeshaji na utunzaji wa mazingira.