Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.

Lilaanike zaidi huko liliko kuzimu
 
Msamaha wa mini wakati yeye mwenyewe alisema atakuwa kiongozi wa malaika? Huwa wanasema swali kabla hujaswaliwa
 
Tulia wewe JIZI la vyeti.

Wenzio wako MEMKWA huko wanabukua na kupiga kitabu, wewe uko bize unalia lia unataka kuajiriwa bila kuwa na taaluma inayotambulika?

Janja janja tu unataka mtelezo kama binti yatima!?

Kaza matako hayo utunukiwe elimu halali na wewe ujidai hapa mjini, sio unajificha ficha kwenye mavyeti ya kuokota stationery.
Nimekuelewa...

Vipi umeacha ushoga?
 
Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Hizo lawama nyingi umezisikia wapi? Tanzania tupo 50M na hao wafalme wa mitandao hawazidi 3M na baadhi yao ndio wanaokufanya uone kuna lawama nyingi, mbona hata kwa awamu zilizopita kulikuwa na lawama hizo hizo labda mwenzetu ni mgeni wa mambo ya siasa za Tanzania hasa za wanamtandao(walikosa ulaji tofauti na awamu ya kiongozi wao) na pia usisahau wafuasi wa SACCOS ya kaskazini ambao wamefanya mitandao ya kijamii kama ndio uwanja wao wa kutolea stress zao.
 
Back
Top Bottom