Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Ikiuma chomoa, kama vipi kunywa sumu tukakuzike pembeni ya mwendakuzimu...
Utazikwa wewe mwizi wa vyeti usiye na ajira.

Mimi bado nipo sana, na kazi yangu kubwa ni kushughulika na MAJIZI madogo madogo yaliyosalia.

Soma kwa bidiii sana upate vyeti halali.

Ukiendelea kuiba vyeti tutakutimua tuu!
 
Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.

Sababu zangu

Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa nafasi.

Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] speed governor na regulator

Sawa ni kuganga yajayo tuu japo mzee Magu alizingua Sana hasa kutaka kutufanya ndondocha na yeye kujifanya kila kitu anaweza matokea yake ni udikteta
 
Kwa ile roho hakika hatosahaulika

Unanigwaya eeeh?

Naamini unanikumbuka vizuri. Hauwezi kunisahau.

Endelea kunikwepa hivyo hivyo, kwasababu ukijisahau ukajichanganya nitakutibua vuzi la papuchi hautaamini.

Mimi ni mtaalamu mzuri sana wa kushughulika na makahaba waliokosa radhi za wazazi.

Nimebobea katika kuwafunda na kuwakomaza.
 
Lawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
Huko mtaani kuna watu wajinga waliopigwa na umaskini na akili zikapauka ni kama nyumbu tuu

Ndio maana hata Nyerere alipowauliza watu wa mtaani Kuhusu multiparty system wakasema hawataki wanataka Nyerere aendelee na chama kushika dola.

Akawapuuza na kuwaona wajinga akaheshimu maoni ya wachache ambao ndio wenye uelewa kama hawa wachache wa kwenye mitandao hasa jf na Twitter
 
Niliomba waongoze kwa miezi mitano. Bahati mbaya niliyeomba awe Rais hajawa. Badala yake tukampa kichaa niliyetaka awe waziri mkuu... kwa miezi mitano tu
Hahaha kumbe ulikua unamkubali Magufuli, hadi kutaka awe waziri mkuu, sasa JAH alisikia ombi lako akampa urais kabisa.

Kwa namna 1 ama nyingine lazima kuna angle yako Magufuli aliigusa na kuharibu, ndo maan umekua na chuki nae kiasi hiki.
Leo ndio nimejua sasa.

Mmmh babuuj punguza chuki na husda, muombee mema mpendwa apumzike salama.
 
Maendeleo gani alileta zaidi ya kuua na kupiga risasi watu. Vijana kuwanyima ajira kisa ushamba wa kununua ndege ambapo mpaka marekani walimshangaa kuua watu kisa ndege. Haku a nchi yoyote duniani tajiri inayoweza kununua ndege cash tena zaidi ya kumi halafu watu wanakufa njaa na budget ya nchi ni 39. 5 trillion yote unahamishia kwenye ndege.

Mungu ametusaidi sasa hivi ajira nii za kumwaga hasa private sector imerudi kwenye mstari
Alipiga risasi kina nani
 
Wajinga gani hao? Vyeti fake, wasiolipa kodi, mafisadi, majizi, nk tumbua tumbua, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yule baba hapan kwa kweli, watu 60mil aliwaweka mfukoni lol.
Hapo tulipigwa
 
Eee..!.Mungu Baba Mwenyezi twakuomba uliepushe taifa letu lisije tena likapata watawala dhalimu kama jiwe milele na milele sio leo,kesho na hata vizazi vyetu vijavyo.Nafunga katika Jina la YESU jina kuu kuliko majina yote.Nikiomba na kuamini hakika hakuna kiongozi dhalimu tena ataketokea katika taifa hili katika Jina la YESU Kristo ulie hai.! Nateketeza kwa moto ulao ! roho zote chafu za viongozi kama Sabaya bashite zisiinuke tena katika taifa hili milele na milele.Tukiomba na kuamini.Na KILA mmoja na aseme.Amee...ni !
 
Hahaha kumbe ulikua unamkubali Magufuli, hadi kutaka awe waziri mkuu, sasa JAH alisikia ombi lako akampa urais kabisa.

Kwa namna 1 ama nyingine lazima kuna angle yako Magufuli aliigusa na kuharibu, ndo maan umekua na chuki nae kiasi hiki.
Leo ndio nimejua sasa.

Mmmh babuuj punguza chuki na husda, muombee mema mpendwa apumzike salama.
Hapana hakuna aliponigusa hata chemba. Aliniudhi kwa utawala wake wa kibaguzi na kifashisti. Nikimkumbuka ndugu yangu Ben Saanane na Tundu Lissu alivyocharangwa risasi... aah napata uchungu sana...

BTW kwa taarifa yako bibi yenu nampenda sana ujue. Lakini siku nikishuhudia kachepuka, namgeuka fasta tu mbona...
 
Hapana hakuna aliponigusa hata chemba. Aliniudhi kwa utawala wake wa kibaguzi na kifashisti. Nikimkumbuka ndugu yangu Ben Saanane na Tundu Lissu alivyocharangwa risasi... aah napata uchungu sana...

BTW kwa taarifa yako bibi yenu nampenda sana ujue. Lakini siku nikishuhudia kachepuka, namgeuka fasta tu mbona...
Kila binadamu ana mapungufu na madhaifu yake, tumsamehe kwa mambo hayo.

Ila hapo kwa bibi najua huwezi kamweeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom