lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Wewe ujinga utakutoka lini?kwahiyo Gambo ndiyo Role Model wako? Akili za Bavicha bwana.
Akili zako kama za yule Marehemu wenu.
Wewe kila mkosoaji humu unamwita Ba mkosoajivicha.
Kwa akili zenu za roho mbaya mnaona kila mkosoaji wa yule kichwa wenu mnawatupia lawama Chadema.
Hivi kwani haiwezekani mkosoaji akawa wa CUF,ACT,NCCR,TLP Wasio na vyama kama wapenda haki wengine?
Yule mtu wenu aliefanya mazuzu nusu ya nchi.
Umakalia bavicha bavicha,kwa Nini isiwe bawacha Au Wawata au Viwawa au bakwata?
Nimekuona mifano tu wewe.maana hata mifano hii itakushinda kuelewa.