Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno


Lilaanike zaidi huko liliko kuzimu
 
Msamaha wa mini wakati yeye mwenyewe alisema atakuwa kiongozi wa malaika? Huwa wanasema swali kabla hujaswaliwa
 
Nimekuelewa...

Vipi umeacha ushoga?
 
Hizo lawama nyingi umezisikia wapi? Tanzania tupo 50M na hao wafalme wa mitandao hawazidi 3M na baadhi yao ndio wanaokufanya uone kuna lawama nyingi, mbona hata kwa awamu zilizopita kulikuwa na lawama hizo hizo labda mwenzetu ni mgeni wa mambo ya siasa za Tanzania hasa za wanamtandao(walikosa ulaji tofauti na awamu ya kiongozi wao) na pia usisahau wafuasi wa SACCOS ya kaskazini ambao wamefanya mitandao ya kijamii kama ndio uwanja wao wa kutolea stress zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…