Sheria hutungwa na kuwekwa kama muongozo wetu, ili kulinda maisha yetu sisi binadamu na kudumisha ustaarabu,ikiwepo kutokuvuka mipaka ambayo tunakuwa tumejipangia,
#naendelea..
Kuna wakati ifike tuweke unafique pembeni! Sasa ni muda wa kuongea kwa lugha ngumu na inayokera.. Huo upole na mipaka ndio vimetufikisha hapa tulipo!
Wenzetu wameshavuka mipaka ya ukondoo bado sisi