Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Ipo haja ya serekali kuanzisha chombo rafiki cha kifedha kama ilivyokuwa pride, (kimfumo) ili kiweze kusaidia kukopesha wananchi wanyonge mikopo chini ya million 10,
Pia ipo haja ya fedha zote zile za wanyonge zitokazo katika halmashauri zetu zikawa zinapelekwa kwenye chombo hicho ili kuepusha fedha hizi kuyeyuka kwani mostly hazitimizi malengo na huyeyuka kabisa na kupotea, lakini kutakapokuwa na chombo tajwa hapo juu, chombo hicho kitakuwa kinaratibu fedha hizi zote katika hesabu maalumu zenye kukaguliwa, na hakika wanyonge zitawafikia na wataona matunda ya serekali yao waziwazi kuliko ilivyo hivi sasa, infact hizo fedha hazifiki kunako!
#Alamsiki.
#Mchengerwa.
 
Back
Top Bottom