Ipo Haja ya Simba SC Kugoma Kushiriki LiGI KUU Msimu Ujao - Sababu Muonekano Wa Kombe Jipya

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
IMG_0483.jpg

Asanteni sana Bodi ya Ligi kwanza kabisa ya kukubali Maombi ya Dar es Salaam Young Africans SC ya kubuni trophy jipya la kuendana na Msimu wao mpya wa kurudi kwenye Mataji Rasmi.

Pili shukrani ziwafikie kwa maandalizi ya kipekee mliyo yafanya pale Sokoine. Nilikuwa na kiongozi mmoja wa Simba SC akasema “Shamra shamra hizi hazikuwahi kutokea”.

Tatu, Napenda kuwapa matumaini watani zangu wa Jadi kuwa wasijione wanyonge. Ofcourse Dar es Salaam Young Africans SC imekuwa ni klabu pekee yenye ushawishi mkubwa katika LIGI Kuu kuliko klabu yeyote katika historia, lakini hiyo sababu isiwafanye mjione WANYONGE.

Wengi wenu hamjapendezewa na muonekano mpya wa kombe Jipya ambalo ujio wake unatokana na Mapendekezo ya Klabu ya Dar es Salaam Young Africans SC.

Sio tu mashabiki bali hata sehemu kubwa ya viongozi wa Simba SC nao hawajafurahishwa kabisa na muonekano wa Kombe Jipya. Nadhani kwa upande wetu sisi Viongozi na Mashabiki wa Dar es Salaam Young Africans SC tumekuwa na mapokezi chanya kutokana na sisi ndio tulio dau mabadiliko hayo.

USHAURI:-

Ninawashauri Viongozi wa Klabu ya Simba SC kugomea kushiriki msimu mpya wa LiGI KUU Tanzania Bara utakao anza 2022/23.

Ni matumaini yangu kuwa kama wakigoma kushiriki kama misimu miwili mitatu mfululizo basi huenda Body ya Ligi wakata na muundo mpya wa trophy ambao utaendana na matamanio ya klabu ya simba sc.

IMG_0484.jpg
 
Waache wagome kana kwamba bila ligi kuu watacheza huko CAFCL..

Hawana akili hao kolo
Simba imesaini mkataba na CAF kushiriki klabu binwa afrika mara 20 mfululizo ahata kama ikishuka daraja mana ukitajia Tazania CAF wanajua kun timu moja tuu ambayo ni SSC
 
Labda Akshey Kumar atoe LINDA kwa kamati nzima ya michezo ya CAF ndio atapata hiyo Offer

[emoji23]
 
Waache wagome kana kwamba bila ligi kuu watacheza huko CAFCL..

Hawana akili hao kolo
Masikini akipata.....Kuna sehemu hutoa mlio....

Uto.. 🐸🐸 mmeshapata ndio maana tunasikia tu mlio kwa Sasa.
 
Upuuzi mtupu.Makalio acha yalie mbwataa mbwataaaa huamuamini macho yenu
 
View attachment 2272519
Asanteni sana Bodi ya Ligi kwanza kabisa ya kukubali Maombi ya Dar es Salaam Young Africans SC ya kubuni trophy jipya la kuendana na Msimu wao mpya wa kurudi kwenye Mataji Rasmi.

Pili shukrani ziwafikie kwa maandalizi ya kipekee mliyo yafanya pale Sokoine. Nilikuwa na kiongozi mmoja wa Simba SC akasema “Shamra shamra hizi hazikuwahi kutokea”.

Tatu, Napenda kuwapa matumaini watani zangu wa Jadi kuwa wasijione wanyonge. Ofcourse Dar es Salaam Young Africans SC imekuwa ni klabu pekee yenye ushawishi mkubwa katika LIGI Kuu kuliko klabu yeyote katika historia, lakini hiyo sababu isiwafanye mjione WANYONGE.

Wengi wenu hamjapendezewa na muonekano mpya wa kombe Jipya ambalo ujio wake unatokana na Mapendekezo ya Klabu ya Dar es Salaam Young Africans SC.

Sio tu mashabiki bali hata sehemu kubwa ya viongozi wa Simba SC nao hawajafurahishwa kabisa na muonekano wa Kombe Jipya. Nadhani kwa upande wetu sisi Viongozi na Mashabiki wa Dar es Salaam Young Africans SC tumekuwa na mapokezi chanya kutokana na sisi ndio tulio dau mabadiliko hayo.

USHAURI:-

Ninawashauri Viongozi wa Klabu ya Simba SC kugomea kushiriki msimu mpya wa LiGI KUU Tanzania Bara utakao anza 2022/23.

Ni matumaini yangu kuwa kama wakigoma kushiriki kama misimu miwili mitatu mfululizo basi huenda Body ya Ligi wakata na muundo mpya wa trophy ambao utaendana na matamanio ya klabu ya simba sc.

View attachment 2272520
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom