Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Irenga,Kichwa cha habari na yanaongelewa humo ni tofauti, ningeshangaa ni lini umeanza kumpenda Nyerere!
Nimeishia hapaKUNA HISTORIA KUBWA YA MWALIMU NYERERE NDANI YA SOKO LA KARIAKOO
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelifungua Soko la Kariakoo jana Jumapili tarehe 8 February 2026.
Nimepata siku za nyuma kuandika makala kuhusu Soko la Kariakoo nikasema kuwa lazima liwekwe bango litakaloonyesha kuwa hapo sokoni kulikuwa na sehemu ilipojengwa ofisi ya Market Master ambayo sasa ofisi hiyo hapo lakini hapo ndipo ilipokuwa ofisi ya Brian Hines Market Master Muingereza.
Baada ya Brian Hines kuacha kazi ile nafasi yake ikashikwa na Abdulwahid Sykes.
Hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 1950 na harakati za siasa za chini kwa chini dhidi ya ukoloni wa Muingereza zilikuwa zinaanza kupamba moto.
Mwalimu Nyerere alikuwa kachaguliwa Rais wa TAA April 1953 Makamu wa Rais akiwa Abdul Sykes.
Uchaguzi huu ulifanyika Ukumbi wa Arnautoglo tarehe 17 April 1953.
Ikawa Nyerere akitoka Pugu kuja Dar es Salaam mjini alikuwa moja kwa moja anakwenda ofisini kwa Abdul Sykes Soko la Kariakoo.
TANU ilipoundwa mwaka wa 1954 ofisi hii ya Market Master ikawa moja ya ngome kuu za harakati dhidi ya serikali.
Ofisi hii ikawa moja ya vituo vilivyokuwa vinasambaza kadi za TANU kwanza kwa wafanya biashara ndani ya soko lile na mwananchi yeyote aliyetaka kujiunga na chama.
Chini ya Abdul Sykes kulikuwa na watu wawili waajiriwa wa soko - Shariff Abdallah Omari Attas na Mshume Kiyate.
Shariff Attas alikuwa mkusanyaji wa ushuru wa nafaka na Mshume Kiyate alikuwa dalali wa samaki.
Hawa walikuwa watu maarufu sana Dar es Salaam na ndiyo walikuwa watu wa mwanzo kujuana na Mwalimu Nyerere alipofika Ofisi ya Market Master mwaka wa 1952.
Kupitia watu hawa watatu Mwalimu Nyerere akafahamika na watu wengi pale sokoni.
Haiba ya Ofisi ya Market Master ikaongezeka kutoka kuwa ofisi ya biashara kuwa ngome ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Harakati zilizokuwa za siri zikawa si siri tena Soko la Kariakoo likawa ngome kubwa iliyobeba wanachama wengi wa TANU na sehemu iliyotegemewa katika kuchangia fedha TANU.
Hapana shaka mchango wa safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO ulianza hapo.
Soko la Kariakoo halikuishia hapo.
Soko la Kariakoo ndilo likawa linatoa chakula kila siku asubuhi kupeleka nyumbani kwa Mwalimu Nyerere Magomeni Maduka Sita.
Mnunuzi wa chakula hiki alikuwa Mshume Kiyate na dereva wa TANU Said Kamtawa ndiye aliyekuwa akija sokoni Kariakoo kila siku kuchukua mahitaji ya kila siku ya nyumbani kwa Mwalimu.
Makachero wa Special Branch wakawa hawapungui Soko la Kariakoo na ndipo ilipoamuliwa Ofisi ya Market Master, Abdul Sykes ivamiwe ipekuliwe.
Hili lilifanyika na kadi za TANU zilikutwa ndani ya Ofisi ya Market Master Abdulwahid Sykes.
Hii ndiyo kwa muhtasari historia ya Soko la Kariakoo katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
View attachment 3541612
Soko la Kariakoo kama lilivyokuwa miaka ya nyuma kulia hilo jengo dogo ndiyo ilikuwa ofisi ya Market Master.
View attachment 3541614
View: https://youtu.be/5g_DMWsh_uE
😁😁😁 Kwahiyo ulitaka aandike "Nafasi yake ilichukuliwa na Julius Kambarage Nyerere" wakati sio kweli?Nimeishia hapa
…Baada ya Brian Hines kuacha kazi ile nafasi yake ikashikwa na Abdulwahid Sykes.
Huyu bila kuandika Sykes roho ya haijatulia😁😁😁 Kwahiyo ulitaka aandike "Nafasi yake ilichukuliwa na Julias Kambarage Nyerere" wakati sio kweli?
Nyerere ametajwa kwa nafasi alizoplay na wengine wametajwa kwa nafasi zao pia 🙏
Wacheni ujinga wenu, mnatufachulia uziHuyu bila kuandika Sykes roho ya haijatulia
😅😅😅😅😅KUNA HISTORIA KUBWA YA MWALIMU NYERERE NDANI YA SOKO LA KARIAKOO
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelifungua Soko la Kariakoo jana Jumapili tarehe 8 February 2026.
Nimepata siku za nyuma kuandika makala kuhusu Soko la Kariakoo nikasema kuwa lazima liwekwe bango litakaloonyesha kuwa hapo sokoni kulikuwa na sehemu ilipojengwa ofisi ya Market Master ambayo sasa ofisi hiyo hapo lakini hapo ndipo ilipokuwa ofisi ya Brian Hines Market Master Muingereza.
Baada ya Brian Hines kuacha kazi ile nafasi yake ikashikwa na Abdulwahid Sykes.
Hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 1950 na harakati za siasa za chini kwa chini dhidi ya ukoloni wa Muingereza zilikuwa zinaanza kupamba moto.
Mwalimu Nyerere alikuwa kachaguliwa Rais wa TAA April 1953 Makamu wa Rais akiwa Abdul Sykes.
Uchaguzi huu ulifanyika Ukumbi wa Arnautoglo tarehe 17 April 1953.
Ikawa Nyerere akitoka Pugu kuja Dar es Salaam mjini alikuwa moja kwa moja anakwenda ofisini kwa Abdul Sykes Soko la Kariakoo.
TANU ilipoundwa mwaka wa 1954 ofisi hii ya Market Master ikawa moja ya ngome kuu za harakati dhidi ya serikali.
Ofisi hii ikawa moja ya vituo vilivyokuwa vinasambaza kadi za TANU kwanza kwa wafanya biashara ndani ya soko lile na mwananchi yeyote aliyetaka kujiunga na chama.
Chini ya Abdul Sykes kulikuwa na watu wawili waajiriwa wa soko - Shariff Abdallah Omari Attas na Mshume Kiyate.
Shariff Attas alikuwa mkusanyaji wa ushuru wa nafaka na Mshume Kiyate alikuwa dalali wa samaki.
Hawa walikuwa watu maarufu sana Dar es Salaam na ndiyo walikuwa watu wa mwanzo kujuana na Mwalimu Nyerere alipofika Ofisi ya Market Master mwaka wa 1952.
Kupitia watu hawa watatu Mwalimu Nyerere akafahamika na watu wengi pale sokoni.
Haiba ya Ofisi ya Market Master ikaongezeka kutoka kuwa ofisi ya biashara kuwa ngome ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Harakati zilizokuwa za siri zikawa si siri tena Soko la Kariakoo likawa ngome kubwa iliyobeba wanachama wengi wa TANU na sehemu iliyotegemewa katika kuchangia fedha TANU.
Hapana shaka mchango wa safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO ulianza hapo.
Soko la Kariakoo halikuishia hapo.
Soko la Kariakoo ndilo likawa linatoa chakula kila siku asubuhi kupeleka nyumbani kwa Mwalimu Nyerere Magomeni Maduka Sita.
Mnunuzi wa chakula hiki alikuwa Mshume Kiyate na dereva wa TANU Said Kamtawa ndiye aliyekuwa akija sokoni Kariakoo kila siku kuchukua mahitaji ya kila siku ya nyumbani kwa Mwalimu.
Makachero wa Special Branch wakawa hawapungui Soko la Kariakoo na ndipo ilipoamuliwa Ofisi ya Market Master, Abdul Sykes ivamiwe ipekuliwe.
Hili lilifanyika na kadi za TANU zilikutwa ndani ya Ofisi ya Market Master Abdulwahid Sykes.
Hii ndiyo kwa muhtasari historia ya Soko la Kariakoo katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
View attachment 3541612
Soko la Kariakoo kama lilivyokuwa miaka ya nyuma kulia hilo jengo dogo ndiyo ilikuwa ofisi ya Market Master.
View attachment 3541614
View: https://youtu.be/5g_DMWsh_uE
Gwapole,Nimeishia hapa
…Baada ya Brian Hines kuacha kazi ile nafasi yake ikashikwa na Abdulwahid Sykes.
Gwapole,Wacheni ujinga wenu, mnatufachulia uzi
Hao vijana ni mwelekeo wako! Na wewe bila kutaja Sykes hujapata raha! Badilika wataje hata Wakristo ili tukuamini. Kumbuka mimi ni mwislam sheikhGwapole,
Hakuna tatizo.
Nimefanya video ya Soko la Kariakoo na Channel Ten.
Hii ni TV Station ya Chama Cha Mapinduzi.
Vijana waliokuja kunihoji walipigwa na bumbuazi kubwa kwa yale waliyokuwa wakiyasikia kutoka kwangu.
Hawakuwa wanajua kuwa kadi ya TANU ya Abdulwahid Sykes ni. No. 3 na 2 ya mdogo wake Ally Sykes na kadi No, 1 ni ya Julius Kambarage Nyerere Territorial President wa TANU.
Walizidi kushangaa nilipowaeleza kuwa kadi ya TANU ya Mwalimu Nyerere iliandikwa na Ally Sykes na ina sahihi yake.
Waliniambia kuwa hiyo ilikuwa historia ambayo wao hawakupata kusomeshwa shule wala kupatapo kuisikia popote.
Jibu langu kwao lilikuwa hao wote ninaokutajieni mimi ni wazee wangu na nimewadiriki kuwaona.
Huu ndiyo ukweli wa historia ya TANU ikiwa inawaumiza baadhi ya watu hii ni bahati mbaya.
View attachment 3542141
Channel Ten
Mzee wetu naheshimu sana historia unayotupa hakika wewe ni hazina iliyobaki. Unatujuza yaliyokuwa sirini kwa hilo nakupongeza. Sasa naomba utupe na matukio yanayoendelea sasa kwa usahihi kama utupavyo historia kwa usahihi. Maana matukio haya nayo yameanza kuitwa historia.KUNA HISTORIA KUBWA YA MWALIMU NYERERE NDANI YA SOKO LA KARIAKOO
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelifungua Soko la Kariakoo jana Jumapili tarehe 8 February 2026.
Nimepata siku za nyuma kuandika makala kuhusu Soko la Kariakoo nikasema kuwa lazima liwekwe bango litakaloonyesha kuwa hapo sokoni kulikuwa na sehemu ilipojengwa ofisi ya Market Master ambayo sasa ofisi hiyo hapo lakini hapo ndipo ilipokuwa ofisi ya Brian Hines Market Master Muingereza.
Baada ya Brian Hines kuacha kazi ile nafasi yake ikashikwa na Abdulwahid Sykes.
Hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 1950 na harakati za siasa za chini kwa chini dhidi ya ukoloni wa Muingereza zilikuwa zinaanza kupamba moto.
Mwalimu Nyerere alikuwa kachaguliwa Rais wa TAA April 1953 Makamu wa Rais akiwa Abdul Sykes.
Uchaguzi huu ulifanyika Ukumbi wa Arnautoglo tarehe 17 April 1953.
Ikawa Nyerere akitoka Pugu kuja Dar es Salaam mjini alikuwa moja kwa moja anakwenda ofisini kwa Abdul Sykes Soko la Kariakoo.
TANU ilipoundwa mwaka wa 1954 ofisi hii ya Market Master ikawa moja ya ngome kuu za harakati dhidi ya serikali.
Ofisi hii ikawa moja ya vituo vilivyokuwa vinasambaza kadi za TANU kwanza kwa wafanya biashara ndani ya soko lile na mwananchi yeyote aliyetaka kujiunga na chama.
Chini ya Abdul Sykes kulikuwa na watu wawili waajiriwa wa soko - Shariff Abdallah Omari Attas na Mshume Kiyate.
Shariff Attas alikuwa mkusanyaji wa ushuru wa nafaka na Mshume Kiyate alikuwa dalali wa samaki.
Hawa walikuwa watu maarufu sana Dar es Salaam na ndiyo walikuwa watu wa mwanzo kujuana na Mwalimu Nyerere alipofika Ofisi ya Market Master mwaka wa 1952.
Kupitia watu hawa watatu Mwalimu Nyerere akafahamika na watu wengi pale sokoni.
Haiba ya Ofisi ya Market Master ikaongezeka kutoka kuwa ofisi ya biashara kuwa ngome ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Harakati zilizokuwa za siri zikawa si siri tena Soko la Kariakoo likawa ngome kubwa iliyobeba wanachama wengi wa TANU na sehemu iliyotegemewa katika kuchangia fedha TANU.
Hapana shaka mchango wa safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO ulianza hapo.
Soko la Kariakoo halikuishia hapo.
Soko la Kariakoo ndilo likawa linatoa chakula kila siku asubuhi kupeleka nyumbani kwa Mwalimu Nyerere Magomeni Maduka Sita.
Mnunuzi wa chakula hiki alikuwa Mshume Kiyate na dereva wa TANU Said Kamtawa ndiye aliyekuwa akija sokoni Kariakoo kila siku kuchukua mahitaji ya kila siku ya nyumbani kwa Mwalimu.
Makachero wa Special Branch wakawa hawapungui Soko la Kariakoo na ndipo ilipoamuliwa Ofisi ya Market Master, Abdul Sykes ivamiwe ipekuliwe.
Hili lilifanyika na kadi za TANU zilikutwa ndani ya Ofisi ya Market Master Abdulwahid Sykes.
Hii ndiyo kwa muhtasari historia ya Soko la Kariakoo katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
View attachment 3541612
Soko la Kariakoo kama lilivyokuwa miaka ya nyuma kulia hilo jengo dogo ndiyo ilikuwa ofisi ya Market Master.
View attachment 3541614
View: https://youtu.be/5g_DMWsh_uE
Gwapole,Hao vijana ni mwelekeo wako! Na wewe bila kutaja Sykes hujapata raha! Badilika wataje hata Wakristo ili tukuamini. Kumbuka mimi ni mwislam sheikh
Gitwa,Mzee wetu naheshimu sana historia unayotupa hakika wewe ni hazina iliyobaki. Unatujuza yaliyokuwa sirini kwa hilo nakupongeza. Sasa naomba utupe na matukio yanayoendelea sasa kwa usahihi kama utupavyo historia kwa usahihi. Maana matukio haya nayo yameanza kuitwa historia.
Kwa mfano matukio ya kiuchaguzi tangu kuanza mfumo wa vyama vingi kwa Zanzibar na Tanganyika mpaka huu uchaguzi wa juzi. Naomba udadavue kwa undani kama ufanyavyo katika tafiti zako za kihistoria.
Uchaguzi wa zanzibar na sio tanganyika....vipi mauaji ya October 29 unayaxungumziaje?Gitwa,
Nimeandika mengi kuhusu uchaguzi wa Zanzibar.
Ingia:
mohamedsaidsalum.blogspot.com
Mohamed Said
MWANAHISTORIA NA MWANDISHI . HISTORIA YA TANZANIA KWA UKAMILIFU WAKE . . SUBSCRIBEwww.youtube.com
fanya search.
Mna...Uchaguzi wa zanzibar na sio tanganyika....vipi mauaji ya October 29 unayaxungumziaje?
Mimi nimezungumzia ya October 29 juzi tu hapo ambapo mambo yaliyotekea umejionea kwa macho yako na usishangae ulijificha hiyo siku na sio mambo yakusimuliwa kama hayo ya 1958 ambapo wewe ulikuwa mdogo sanaMna...
Nimeandika kitabu"Uamuzi wa Busara," kuhusu uchaguzi wa Kura Tatu wa mwaka wa 1958.
Mauaji yanasikitisha.
Kila kitu lazima uhusishe na Uislamu na wazee wako akina Sykes. Hivi huna namna nyingine ya kuandika kuhusu soko mpaka uwapaishe hao wazee wako??KUNA HISTORIA KUBWA YA MWALIMU NYERERE NDANI YA SOKO LA KARIAKOO